hapo kwa hala halaka hao trafic wawili tuwajengee mnara wa kumbukumbu kama pale sokoine morogoro 🙏
2026-09-06 09:07:32
3
MC manywele :
vipiii walizika makumbusho au kila mtu alikuja chukuwa mwili wa ndugu ake
2026-09-06 08:05:11
2
kennedybundala6 :
aaaah kushiney
2026-09-06 02:40:52
1
pasha man🚛 :
alafu mshale upo 180 apo msiba tunao au hatuna maan nashindwa kuelewa au nimeona vibaya na kuelewa tofaut
2026-09-06 06:12:58
3
calphone360 :
amn ugumu apo muhimu uwe na resen hai yenye daraja sahihi ya chombo chako
2026-09-06 07:43:34
1
Elvinecena :
mbna hapo kando naiona njia tuh
2026-09-06 00:51:31
1
JOHN JR 4️⃣5️⃣ :
umeisha kabisa
2026-09-06 08:06:57
0
Joeli Safari :
kesi ishakua ngumu
2026-09-06 08:21:42
0
ţĕñŋöř əfx :
lesen mnaletewa kwenye kapu ndo shda
2026-09-06 08:21:36
1
japhet mbuki lukubanija :
kwish wewe uwe nasafar njema
2026-09-06 07:52:12
0
calvincalvin2719 :
Hakuna kitu Kama hicho..
2026-09-06 07:18:05
0
Dojobu Chaternagy :
break zipo kwanza naona speed 😳😳
2026-09-06 06:38:43
0
KB WAKUNZE :
daaa😅h kesii ishakuwa ngumuuu
2026-09-06 00:05:11
0
✨G.. classic ✨ :
Sasa huyu😅😅
2026-09-05 23:55:21
0
Yusufu Mussa :
nin tatizo
2026-09-06 06:21:19
2
nikolaus Hhayuma :
acheni uwoga bado tup tz 💪🦍
2026-09-06 05:32:23
1
Mr macha,, :
speed hiyo ata camera 📷 isingenasa hilo tukii
2026-09-06 07:41:37
0
Malalejr :
Kutoka Apo Inahitaji connection kubwa sana😜😜
2026-09-06 07:45:29
0
KING LUHUMBILA 👑💎💎 :
cha kufanya usichezeshe usukani minya kidogo tu brake yan kiduchu then pindisha kdg tu usukani mtafute askari wa kushoto na hiyo bicon ndo wataamua wao😂😂😂😂
2026-09-06 06:56:27
0
victormahuma :
Apoo na pita na hao wawili basii
2026-09-06 08:30:39
0
GERALD MALLYA 🚙 :
apo kweny hii nyimbo mpka mfalme aje kusimama ushavaa pinguu Tyr😁😁😁
2026-09-06 05:45:53
1
Thomas'*DM🇹🇿🇰🇪🇺🇬🙏 :
Sasa hapa mbna speed na naona kama ulisimama inanchanganya au ulikuwa unapiga lesi mpka ikapanda huko
2026-09-05 23:44:10
0
To see more videos from user @elisha.magesa, please go to the Tikwm
homepage.