simba kesho ni anashinda ila goli ni moja tu ay naomba mnifollow🥰🥰😂😂😂
2026-09-06 00:13:41
120
Tamali 💫 :
ndilibwino
2026-09-06 18:11:08
0
theonest Leonard :
Nani anampenda Simba
2026-09-05 22:52:06
67
~B.Ő.M.Ä_47👣 :
Simba sports club to the World 🌎
2026-09-05 22:10:47
3
beby ney💕💕💋 :
nilibwino kayayinuko[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy] ife tili bobo
2026-09-06 16:08:36
5
Firstborn wao💫❤️🤗 :
Tilibwino kaenu 🥺😂
2026-09-06 19:44:52
0
blackiamerican14 :
mwalibwino
2026-09-06 21:16:02
0
Rastradamus :
Sasa hapo ndo katoa taarifa ya timu😂
2026-09-06 06:43:51
23
modesterisaac :
ndilibwino kainu bwana
2026-09-06 16:25:46
1
babamo40 :
Mimi ni YANGA damu ila huyu mwamba huwa namkubali sanaa Hanaga ugomvi wala shida na mtu yoyote😂😂😂
2026-09-06 08:33:10
11
Hervin jr :
me ni yanga ila semaji ni mmoja tu hapa tz😂😂
2026-09-06 12:55:24
25
Thomas chirwa :
nikweli umepatiy kaka
2026-09-06 07:03:17
6
mlimasayuni :
tulibwino!
2026-09-06 06:07:25
0
Happyness Mpandula :
mungu ibariki simba hii leo ushindi muhimu
2026-09-06 07:35:04
7
Hadassah 🥰🤌 :
kwanini swez kusav jmn🤣🤣🤣
2026-09-06 19:45:00
1
Officiall martiall :
apo kesho panapo majaliwa ya mwenyez mungu katika mchezo wetu wa kwanza wa caf champions league Allah akasimame nas katika mchezo huo na kwa uwezo wake mwenyez mungu tutatoka kifua mbele kwa mabao 2-0 mungu ibariki simba sport club mungu ibariki Tanzania 🇹🇿 simba nguvu....!
2026-09-05 23:41:18
10
SMN💫 :
ila semaji😂😂
2026-09-06 08:35:53
2
K C M :
Ila semaji langu bwan😂😂😂😂
2026-09-06 06:36:28
2
JASI :
2026-09-05 23:01:34
1
its _jovin_TZ 🤓 :
challenge iyo tayar
2026-09-06 09:28:45
2
NTWARA ICON 🦍 :
kwa mtazamo wangu, na maoni yangu, nadhani inabidi niweke sawa kwamba kwa maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa naweka wazi ya kwamba maoni yangu na mawazo yangu naeleza kuwa mtazamo huu ni kueleza kuwa sina la kusema maana hata mimi sielewi ndugu zangu..
2026-09-06 09:32:30
1
Regina Mallya :
ila napenda cheko lako kaka yani unacheka kimbea hatari 😃😃😃😃
2026-09-06 07:50:40
2
To see more videos from user @simbascofficial, please go to the Tikwm
homepage.