@richmitindo: Leo tumetembelewa na mrembo kutoka Nairobi 🇰🇪 Nahisi @pp_aircargo.tz tumebarikiwa sana, maana wateja wetu siku hizi wanakuja na uzuri wa ziada kabisa! Kusema ukweli, huyu dada live ni mzuri kushinda kwenye picha… camera imemdhulumu kidogo tu 😂 Anyway, tusije tukasahau tupo kazini 😂 Mzigo wake kutoka China 🇨🇳 kwenda Kenya 🇰🇪 tunauhakikishia safari salama mpaka unamfikia. 📦✈️ Asante kwa kutuamini @pp_aircargo.tz 🙏,
Rich Mitindo
Region: GB
Saturday 05 September 2026 23:17:11 GMT
Music
Download
Comments
jujubeauty06 :
Kumbe juma ni mkweli 😂😂😂
2026-09-06 19:25:09
28
mummydollar#01 :
our own gal @ being amira🥰🥰
2026-09-06 17:48:25
6
lana :
Okay ooo
2026-09-07 12:34:32
2
ndauka599 :
jmn kwaiyo ba mp umeamua kumsia mkenya mma p wetu aumie mmh🙌🙌
2026-09-13 17:17:15
1
𝐌𝐢𝐬𝐬 𝐀 :
kwishaaaaaaaa!😂😅
2026-09-07 00:15:19
0
aneshine collection :
baki Kwa mama p kaka
2026-09-07 16:01:04
0
bonge la dada 001 :
the girlfriend her self🥰🥰🥰mama pp mdogo
2026-09-06 00:32:17
2
Tumu collection :
Hvi mishangaz ni kina nan?😂
2026-09-13 13:47:50
0
user6624702978736 :
nyimbo ya zamn sana aissss
2026-09-06 20:39:17
1
Leah Maina :
@beingamira
2026-09-09 16:45:58
0
Maggie🦋❤️🍀 KAHAMA :
Unamjua issalito ww😂😂😂😂
2026-09-07 10:02:06
2
happiness :
Kuweka pesa kwA Meza ni red flag huku Kenya.. ... Yani bendera nyekudu
2026-09-07 10:09:27
2
tina :
dah hatari sana
2026-09-07 14:49:43
0
keih Mwanah@1 :
22#22
2026-09-08 08:07:35
0
dhafaran :
😂😂mbon eg goo ziwa ndala
2026-09-06 10:51:48
1
Realtalk419 :
Unapenda mishangazi 😁
2026-09-06 20:46:55
4
MAMA G :
kaka unapenda mishangazi 😳
2026-09-06 20:01:21
3
PICKY PEETY🇰🇪🌍🇰🇪 :
nisikupate tena na bibi wolper ...utajieleza
2026-09-07 04:57:34
0
Ummy6 :
juma lokole kashazua taharuki huko 🤣🤣🤣
2026-09-06 17:24:18
1
Pool of Faith :
Hamn kitu hapo wolper kula ushibe hilo penz la miez mitatu tu
2026-09-13 13:34:44
0
Zary Official👑 :
2026-09-07 15:32:11
0
jenester kalikawe :
lokole kumbe hakudanganya
2026-09-07 21:32:03
0
Beauty Maku :
kuna mtu niliskia mwafumuana 😂😂😂
2026-09-08 20:34:51
0
Emmy Tesha :
🥰🥰🥰
2026-09-06 19:56:25
1
Mama Tabisa :
😳😳😳
2026-09-06 11:24:29
1
To see more videos from user @richmitindo, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.