@auledymdud:

auledymduda5
auledymduda5
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 06 September 2026 00:03:32 GMT
110789
5958
1120
147

Music

Download

Comments

afrokid_bx
𒆜BLAXX VØW༒ :
Genz tutoe apo atukipendi
2026-09-06 06:07:30
317
ibn_abass...12
@Safakh__12 :
na aje asome comments 😂😂😂
2026-09-06 18:41:18
0
drmwakalesrichard
.....@ disciple_RM@..... :
tunaogopa ku comment lakini hatuwapendi
2026-09-06 11:33:17
63
johboy473
JOO🦚⚽️🎖🔛 sports wear ⛳️⚽️🥅 :
odemba mwandishi bora mwenye maswali mazuri 🤝 "mnapendwa na nan?"
2026-09-06 04:43:17
315
giftfy018
GIFTFY01❤️ :
me mnitoe kwenye upendo wenu😂😂😂😂
2026-09-06 05:03:17
106
mushyenock
mushy enock :
me mnitoe hapo kwakweli
2026-09-06 05:41:34
95
alphan3175
Alphan12 :
Baba angu mwenyew cna stor nae kwasabab ya uccm wake
2026-09-06 03:35:25
216
samtungu
Samuel tungu gingiligi :
🤣🤣🤣🤣 mmmmmmmh acha kwanza nicheke
2026-09-06 22:08:09
0
makanga.jr
MAKANGA JR.🥰 :
watanzania gani wanaoipenda ccm ACHA kutusemea
2026-09-06 01:50:08
107
atanasimafuwe
Atanasi Mafuwe Nipo :
kama wanapendwa walete katiba mpya tuende kwenye uchaguzi tupate kipimo saihi cha upendo🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-09-06 03:17:20
121
kasakilaharuna
Kasakila [email protected] :
Twitter tena mbna hatar
2026-09-06 19:51:48
1
agnes.zabron6
Agnes Zabron :
mtukomeeeeeeee
2026-09-06 18:35:44
0
jovfre12
U S A Small fashion :
nachoka
2026-09-06 12:20:37
0
binti0207
💔 :
we baba nishushe me siipendi😂
2026-09-06 08:23:10
1
noreenphat
reen 06 :
ata sisi wazee anatusingizia.
2026-09-06 06:15:44
21
nestorykiyuga
FORKLIFT OPERATOR :
kwenye huo upendo mm sipo
2026-09-06 10:20:24
5
lucas20957
Lucas laizer engeray ormaasani :
Nani anawapenda bwana yani sitaki ata kusikia ccm maisha yangu yote
2026-09-06 12:47:57
11
drochu_meddy
Drochu_meddy :
Yeye mwenyewe anataka kucheka kwa majibu yake😂😂😂
2026-09-06 07:30:55
17
kherryboy
kherryboy :
hakuna mtanzania hata mmoja anaeipenda ccm
2026-09-06 02:57:07
33
afrokid_bx
𒆜BLAXX VØW༒ :
Watanzania gan kwan munawazungumzia 😅😅
2026-09-06 06:07:46
24
maadili01
Maadili :
Odemba Hongera kwa kumpa vipande vyake
2026-09-06 07:15:50
20
wonderlauryn
boss dada🦋🦋 :
mtangazaji usikute ni bamdogo tulio potezana miaka7🥺🫴🏻
2026-09-06 10:02:12
25
lshinedesilver
Lshine De Silver :
Wallah SISIYEMU Siipendi mpaka nakufa
2026-09-06 04:56:34
5
To see more videos from user @auledymdud, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About