@prophet_philbertpaschal: MAMA ALIYEVAA ROSARI APIGA ADHAN KANISANI

Prophetphilbertpaschal
Prophetphilbertpaschal
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 06 September 2026 02:59:17 GMT
119765
2013
469
214

Music

Download

Comments

saydonbn
Sayeed🇹🇿 :
Sasa adhana gani hapo, acheni kuchezea dini za watu
2026-09-06 04:18:44
110
fearless...24
🖤✨Halimaa✨🖤 :
hata waarabu hawajui hiyo lugha😁😁😁
2026-09-06 05:06:10
21
dady_mhina
Dady Mhina_25 :
kilicho wakuta nepal ipo siku tanzania itakuwa zaid
2026-09-06 05:00:34
36
kassim.jakaya
Kassim Jakaya :
hapo akuna adhana kasema allahu Akbar manake mungu mkubwa ayo maneno mengine wamemfundisha vibaya
2026-09-06 05:07:50
40
townivestors
Vurahab :
MSITUKUFURISHE NDUGU ZETU
2026-09-06 04:59:15
5
anamacha827
mamy G.H.R :
mmi sijawahi amini Hawa wachungaji jamani mungu nisamehe jamani
2026-09-06 18:18:42
12
hamza.sololoka
Hamza Sololoka :
Mwenyez mungu awasamee hamjui mlitendalo
2026-09-06 05:02:44
10
user6662216177570
jumaOfficial tz :
hahahahahh!! sio hvyo mngempeleka hata madrasa kidogo ila anakipaji atafika mbali
2026-09-06 05:26:30
20
doryhpasco
D mideko :
🤣🤣🤣 me ni mkrsto ila sijawahi kusikia hii adhana toka nimezaliwa
2026-09-26 06:04:53
0
seifabdallah86
seif abdallah :
wakristo wanaendesha dini yao kisanii ndio mana dini inapotea kila siku
2026-09-06 12:44:04
8
userummuzulphath
chocolate color :
adhan gani gani na kiarabu gani kinaongelewa hivyo
2026-09-06 05:23:01
9
adam.msonga
Adam Msonga :
maigizo mengine wachungaji muyaangalie
2026-09-06 05:53:07
14
mfaume12344
Juma Omary :
izo ni lugha tu assalam alaykum maana yake amani iwe juu yenu alikuwa anawatakia amani sio anaadhin
2026-09-06 05:39:23
7
aidangolly4
Ngolly@a :
Mimi ni mkristo pure ila kwa hili hapana
2026-09-06 05:06:15
6
kisilo8
kisilo :
achení kutukanisha dini zawatu tangu lini mliona wakatoliki wanasali hivyo acheni hizo mambo
2026-09-11 13:31:54
0
user3033374964959
user3033374964959 :
Astaghafiru llah. Allah awasamehe hawajui walitendalo lkn ipo siku watafahamu.
2026-09-06 05:06:27
5
dullah_6o6o
ABDULLAH MAHMOUD ABDUL :
Inna Lillahil wa Inna Ilayh Rajiun
2026-09-06 14:04:24
1
user432371937906
user432371937906khamis :
dah!!! aisee uliwapanga vizuri lakini wamekuangusha maana hawajui. jitaidi kudanyanya
2026-09-06 09:17:04
5
rahmamuhamedi
rahmamuhamedi615 :
liongo tu kiarabu gan icho
2026-09-10 10:18:04
3
vummy095
ashy 💯 :
ila nyie mie naweza hyo contect niiten bwana😂😂😂
2026-09-10 07:17:06
2
mashaallahyusra_fashion2
mashaallahyusrafashion_2 :
AWAJAMFUNDISHA VIZURI JINSI YA KUIGIZA
2026-09-12 12:18:29
2
mohamedbey.training
Mo_Bey :
MAIGIZO TU 😊😂
2026-09-06 14:18:07
4
michi_amazing58
MICHI :
. ishala maulana 🫪💔😂🙌
2026-09-06 05:58:37
2
user5986945116981
86867272 :
akuna kitu apo
2026-09-06 09:21:04
1
tee40baby
tee40baby💕🤍 :
Nan kakwambia iyo ni adhana mwaya😅😂
2026-09-06 16:21:54
3
To see more videos from user @prophet_philbertpaschal, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About