@abdallahshiza1:

AL FAWZ TV
AL FAWZ TV
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 06 September 2026 04:05:57 GMT
15400
1196
67
57

Music

Download

Comments

issam4more05
Issam suleiman :
sema mashehe wanatuchanganya sna
2026-09-25 08:38:10
0
chidyfarhan
Chidyfarhan :
Mnatuchanganya
2026-09-06 14:06:46
1
user1343125135235
jude@@ :
wana tuchangany kwl maan kila sheghe ana mawaiza yake
2026-09-25 08:53:02
0
official_juma46
Maokola :
Ukisema ivyo sasa unakosea jaman sisi maulid tutafanya Amna zambi kumtaja Allah pamoja mtume akuna kingne unasema bidaa
2026-09-23 10:58:37
1
user9115817251569
hamisi jaha :
maulidi tutasoma sana2 na hatuachi
2026-09-12 10:24:35
1
user576594623795
Saly :
acheni kuwachanganya watu kunamambo mengi mnayafanya mtume hakufanya, kumswalia mtume ni bidaaa sijakuelewa apo shekh
2026-09-25 09:12:41
0
hemedisaidi616
sheeee :
sibishani maana hakuna aya inayosema mawlid ni bidaa au sio bidaaa kikubwa tu tumuombe mungu atuongoze njia iliyonyooka bas
2026-09-25 18:44:41
0
suleyman_531
Suleyman :
mtume hakuswali tarawehe kwa jamaah ila sasa tunaiswali kwa jamaah kuna bida zingine zinafaa
2026-09-23 21:39:08
0
saitvzanzibar
Sai Tv Znz :
mtume alitumia mic na camera?
2026-09-18 09:27:16
0
hamza61095
hamza61095 :
mtume alitumia sm ya mkono kama hajatumia basi ni bidaaa shekhe au
2026-09-23 18:44:17
0
user2362458186137
user2362458186137 :
factssss
2026-09-09 07:19:36
2
shuphaa3
sweetie 🍯 🧸 :
Allah akbar huy shekh nampenda ana msimamo kama wa bab yangu na maalimu angu yan ni hiv hiv
2026-09-13 11:13:46
3
user5212719817043
mafita family :
bila kupinga
2026-09-11 11:59:49
2
chake098
Chake098 ✪ :
Subhana llah
2026-09-06 08:41:51
1
user..spai
ISSA :
kwely kbs
2026-09-06 11:04:49
1
user8655092263141
Abubkr haji :
subhanallah
2026-09-06 19:35:44
1
saidi.sabali
saidi sabali :
Maulid tunasoma na hit mamb tutasoma sana bidaa ni kwako kwetu sio bidaa nyie mawahabi mnashida sana
2026-09-14 07:58:18
1
nuizrai
nuizrai :
Subhanallah
2026-09-06 06:49:01
1
alikibiste
Ali Abdullahi :
baraqallahu fiiq
2026-09-20 10:07:44
0
feisaly.mohammed
Feisaly Mohammed :
kwako ww
2026-09-19 18:00:30
0
user1075178179948
ukhty zey :
subahana Allah
2026-09-25 21:14:12
0
mabe.tz
mabe tz :
naaamini katika kheri ni mahala ambap anatajwa mung n mtume sijui n bidaaa
2026-09-20 19:24:47
0
doctor87979
Doctor :
Sio kuitakid hiyo ni hakik analipw
2026-09-06 12:36:54
1
user868573814861
Ummu Al Sudais :
Allah ni mjuz zaid
2026-09-25 04:06:47
0
user3795492772685
Ammar Qassim :
Shekh nataka munaqasha na ww
2026-09-14 15:26:01
0
To see more videos from user @abdallahshiza1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About