@princetz78: Shalom familia yangu ya TikTok 🙏 Wiki hii Mungu ametujalia watu 38K kuona mawaidha. Sifa na Utukufu ni wake. Niko na ndoto kubwa... nataka niwe na Live kila siku niweze kuongea nanyi moja kwa moja, kuomba pamoja, na kuwapa mawaidha fresh. Lakini camera ya simu yangu imeharibika 😔 Na bila camera nzuri siwezi kuingia Live. Kama Mungu amekugusa moyoni na unapenda kazi hii iendelee, naomba mchango wako mdogo. Namba ya msaada nimeiweka kwenye Bio yangu. Hata Tsh 500, Tsh 1000 ni baraka. Mungu akulipe na akubariki sana. Asante kwa upendo wenu. Tuko pamoja 💛

عثمان أدم
عثمان أدم
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 06 September 2026 04:30:29 GMT
45758
2789
40
1097

Music

Download

Comments

faizun996
FAIZUN COLLECTION :
kweli
2026-09-06 11:22:49
3
rajabmuungwana5
rajabmuungwana :
Salallahu alayhi wa salaam
2026-09-06 06:21:29
3
user2465927266239
Abdurahaman :
mashaallah
2026-09-07 12:57:28
1
yazu690
𝕯𝖔𝖓 𝕹𝖆𝖊𝖊𝖒 :
na wanawake waliowakosea waume zao na mume akafikia mahali akasema hawezi kumsameh mpaka wasiname mbele ya haki na mola wao
2026-09-20 17:13:58
1
shabanimohamedi14
Shabani Sungita :
Maashaallah Maashaallah shukraaaan saanaa Dada ang kpeenz
2026-09-17 19:46:06
1
g.man2910
G man :
Maa sha Allah M, Mungu akubarik Kwa kuaelimisha
2026-09-06 05:22:56
2
uncle.uncle998
Uncle Uncle :
Shukran
2026-10-09 18:13:11
0
fadilfadza
Fady :
mnavoongea kwenye media ntofaut na mnavyotufanyia ndani
2026-09-08 11:05:29
1
bola50898
bola bola :
asante sana dada
2026-09-23 22:39:18
0
feisal026
Salim Uwesu :
wee ushaolewa b haloo
2026-09-07 11:57:10
2
abdirashiidzuri
Aduu shidok :
kweli
2026-09-26 17:08:44
0
cute_bby_._hilmer
cute_bby_._hilmer :
kweli kabisa
2026-10-03 22:11:26
0
hamad.hilal.hamad
HAMAD HILAL HAMAD :
mashaallah
2026-09-06 19:25:01
0
mahad7691
mahad :
❤️Allah akbar
2026-09-07 15:03:18
1
bambichi.tz.bataz
Bambichi Tz Batazar :
kweliiii
2026-09-07 13:41:06
0
user28061062570185
black panther :
wako wapi hao wakuwa vitulizo karne ya sai ukitoka ukirudi unapewa magozo kabla hata ujawasili nyumbani
2026-09-07 12:58:53
0
user2133014144950
@ummy ima :
watoto wa 2000 hii hawaelewi wao ni pesa tu Allah awajaalie imani zaidi wanawake wa sasa kwani sisi tulipitia maisha ya zamani tunajua nini wazeewetu walivumilia mpka kujukuu ila dunia ya sasa ni tofauti
2026-09-06 06:28:16
1
abuameera001
TAJIRI❤️‍🔥001 :
wanawake wengii wa sahii hawataki kuwatumikiya waumee zao ndiyo sababu kubwa ya kuachika Allah Atuzidishiye subra inshaAllah
2026-09-07 20:37:01
0
yazu690
𝕯𝖔𝖓 𝕹𝖆𝖊𝖊𝖒 :
kisha wasichana waonao tukana usiku na mchana kwenye mitandao
2026-09-20 17:14:37
1
babalihassangmail.com
OKONKWO REAL :
❤️❤️❤️
2026-09-06 16:30:06
0
user7654283052923
Mussa :
@vick Santana
2026-09-06 19:34:57
0
user9436814044030
شعبان :
😌😌😌
2026-09-20 12:30:03
1
yas_enterprises_comp_ltd
Yusuph Salum :
🥰🥰🥰
2026-09-27 16:12:07
1
user2452560306007domingo
abduli :
🥰🥰🥰
2026-09-07 12:27:56
0
jumaviduku
Juma Viduku :
😁😁😁
2026-09-26 17:49:51
0
To see more videos from user @princetz78, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About