@bashasha_tv: Safari ya maisha ya Furaha Amos na mwanae, Ethan Mauwono, imefikia tamati baada ya miili yao kuzikwa leo Septemba 5, 2026, katika Kijiji cha Mbalawala mkoani Dodoma. Wawili hao wamefariki dunia kufuatia tukio la moto ulioteketeza nyumba waliyokuwa wakiishi. Katika mazishi hayo, mume wa marehemu Furaha Amos, Joshua Mauwono, ametoa salamu za mwisho kwa mke wake huku akiomba msamaha kwa makosa yote ambayo huenda alimkosea wakati wa uhai wake. Joshua amesema msiba huo umemfanya kutafakari kwa kina maisha waliyoyapitia pamoja na mambo mbalimbali ambayo huenda hakupata fursa ya kuyarekebisha wakati mke wake akiwa hai. Mazishi hayo yamehudhuriwa na ndugu, jamaa, marafiki pamoja na wananchi ambao wameungana na familia katika kipindi hiki cha majonzi. Waombolezaji wameendelea kutoa pole kwa familia ya marehemu huku wakieleza kuguswa na msiba huo ambao umeacha simanzi kubwa kwa jamii ya Mtaa wa Sokoine na maeneo ya jirani. #bashashatvupdates #bashashadigital #bashashamedia

bashasha_tv
bashasha_tv
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 06 September 2026 04:35:48 GMT
127352
8614
475
234

Music

Download

Comments

boniphace38
BONIPHACE :
MUNGU nijalie nije kumpenda mke wangu 😭🤲🏾
2026-09-06 08:04:39
117
hadija.jiriwa
hadija jiriwa :
huyu kaka anaumia jamani
2026-09-06 05:26:07
168
yoypqq4
🌹🌹 :
huyu kaka anaonekana anaupendo wa kweli kwa familia yake🥹🥹
2026-09-06 05:46:05
253
jemah.exsavery
💦jemah exsavery🥰🫶 :
walahi nimelia sana asbh hiii poleni sana ndugu zangu 😭😭😭😭😭
2026-09-06 05:30:06
129
azizamghase
zizah :
KAMA KUNA PEPO KWELI AKAE PEPO YA JUU❤️❤️❤️😭😭😭😭😭😭
2026-09-06 05:52:10
173
doryhpasco
D mideko :
amechanganyikiwa jaman inauma uwiii
2026-09-06 05:53:22
55
misslee632
MissOli👩‍🦰💞 :
anadai kwamba aliogopa kero zangu nisingemkuta mwanangu mimi naongeya sana aliogopa kelele zangu akaona bora amfate mwanae .. wanaume acheni kuwa wakali sana kwa wake zenuuuu🙏🙏
2026-09-06 06:13:16
90
nuru.kalebi5
nuru kalebi :
Masikini kachangayikiwa 🥺🥺
2026-09-06 05:26:09
26
user9177650603493
user9177650603493 :
Raha ya milele umpe Eee Bwana, na Mwanga wa milele uwaangazie,wapumzike kwa amani.🙏🏿Amina.
2026-09-06 06:04:21
66
yan.love10
rehema kitoga :
nimelia sana ila kiatu hiki nikigumu mnoo nikuwaombea tu
2026-09-06 05:18:06
53
mrsdaddy4
@Mrs thomas💕💍🌸🌺🌻♥️ :
Maumiv yake sio ya kuyaelezea 😭😭😭😭
2026-09-06 05:41:52
32
itc__annah
itc__annah🦋💦 :
siku nyingine ya kulia na mambo yasiyo nihusu🥺🙌
2026-09-06 06:50:30
12
user2613133245441
high achiever :
kumbeb alimfata mtoto aisee sisi wanawake tunaupendo
2026-09-06 06:05:31
30
26blackie_
❤️‍🔥☆fïn̈ě_ĝìŕĺ☆ :
MAPENZ yakweli yapoo wallah 😭😭😭
2026-09-06 06:00:03
23
dzaddy70
🗽☘️🗽Dzaddy🗽☘️🗽 :
He's in so much pain🥹
2026-09-06 06:01:20
1
paulraphael467
Hb boy :
pole broo
2026-09-06 08:57:45
0
regina.iddy4
Regina Iddy :
poleni jamani
2026-09-06 07:18:02
0
saumoawazi
saumo awazi :
[Crying][Crying][Crying][Crying]mngu amlaze mahali pema pepon
2026-09-06 09:24:14
0
naya26534
naya26❤️ :
Mungu azipumzishe roho za marehem mahali pema pepon 🥹
2026-09-06 05:35:44
45
magdalenefrancis11
Maggie jason 🥰🥰😍 :
jambo hili sikia tu kwa wenzio
2026-09-06 05:16:52
29
sharontrace1
Sharon❤️ :
Huyu kaka maskini 😭😭😭
2026-09-06 05:26:50
33
eze_store09
eze_store :
hawa walikuwa washikaji sana .. huon jamaa akiita mke anaita jamaaa bas ujue walipendana mpaka wakawa washikaji .. jamaa kapoteza mke na rafiki yake wa karibu kwa wakat mmoja... pole sana mwamba
2026-09-06 07:01:07
26
sweet_nasreen
sweet_nasreen :
Nimelia kwa sauti kweli inauma
2026-09-06 05:12:14
26
neria_205
neria_19 :
Huyu kaka kaumia sana Jaman mungu amsaidie
2026-09-06 06:01:11
10
To see more videos from user @bashasha_tv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About