@yuzzo.068: Hii ni ujumbe kuhusu nambaya yangu, nimetoka wapii!??? Wenye mawazo, tujujb nini? Hapa ni nafasi ya kubadilishana tu. #swahilitiktoktanzania🇹🇿 #africatiktok❤ #newpostviral💫

YUZZO
YUZZO
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 06 September 2026 04:59:23 GMT
122922
5128
1332
116

Music

Download

Comments

mosesnestory41
moses :
songesha wamenizawadia kama zawadi baada ya kulipa deni lao👍👍👍👍
2026-09-06 17:46:22
431
iam.godfreyndaile
G🤎 :
Mbona umeniuliza katika hali isiyo ya kawaida! kimsingi namba yako niliihitaji nikaitafuta na nimeipata. Lakini sikujua Kama Mimi kuwa na namba yako labda ni hatia? Ila najua unaheshima yako samahani kwa kuwa na namba yako bila idhini yako kama hautajali basi naomba nikuombe tena!😝😝😝
2026-09-07 04:42:26
480
sumalee1w2e3r
Suma Lee :
Sbiri nifute nikuombe mwenyew.
2026-09-07 05:38:29
168
jastine.jackson7
nLE-Jtine37..huncho :
nilivo spin kweny efotball wakanipa doumbia na namba yako
2026-09-07 10:07:36
232
officiallydwhitee
D WHITE NEW AGE :
nimetumiwa kweny Salio la mix by yas kma gawio la mwezi😂😂😂
2026-09-06 18:16:33
201
haliliboyjr
Halili Boy Jr :
NILIKUSIKIA UKIITAJA KWA WAKALA
2026-09-07 10:02:10
55
rotimisleezy02
Rotimi_sleezy💫🥷 :
nimenunua na coin za e football
2026-09-07 05:35:24
63
architecttwinx02
architecttwinx :
kweny orodha ya majina ya watu wanao saidiwa na TASAF
2026-09-07 12:10:20
42
istarboyfans
ISTAR BOY FANS ☑️ :
tunaokumbilia kusoma comments tujuane❤
2026-09-07 09:57:33
53
mwalyoyok5
Mwalyoyok💯 :
Nimeomba kwa rafika angu anaitwa Gabriel Batistuta😂😂
2026-09-07 13:03:17
28
reysan3621
white blood :
mwambie umeitoa play store
2026-09-06 17:27:21
46
rajabmsuya815
uwii Mzee mmoja :
wanao soma comment wajuane
2026-09-07 14:38:33
10
yohanasdaughter_2
JOYLINE PETRO 🍑 :
Nakumbuka mwaka 2002 niliitwa na bibi yangu kijijini, aliniambia mambo mengi sana ila maneno ninayoyakumbuka hadi leo aliniambia "mjukuu wangu ipo siku moja watu wengi watapoteza mda wao kusoma comment yako"
2026-09-07 15:21:59
47
atmyprime29
game is gone 🇦🇷 :
kwenye nguzo
2026-09-07 05:45:03
7
machomacho77742
MACHO :
nimepewa zawad na yas
2026-09-07 05:45:41
9
mahzum1
mahzombii :
kwenye mabango ya tigo
2026-09-08 07:52:11
10
amossela06
✨Amos sela🎮✨ :
niliipata kwenye kadi ya Martinez 😂😂😂
2026-09-10 17:08:53
9
sofatechnician2
Official_Treyzah🔕🎶 :
WI-FI. YA JILANI YANGU PSWD. YAKE NI NAMBA YA SIMU NIKAJALIBU KUPIGA NIKAKUPATA WEWE
2026-09-07 12:08:20
7
kiddy_sam_
KIDDY_SAM_👑 :
Nimeiota wakat nimelala
2026-09-06 16:28:26
9
erasboy.mathias
@Erasboy TZ :
kwa chatGPT
2026-09-07 05:42:27
5
gabbyflwb7
gabbyflwb7 :
Ilikuja na maelezo ya tuma kwenye hii namba😅😅😅
2026-09-07 05:55:15
10
kinambo.234
Edmund :
nimezawadiwa na TCRA♥️♥️♥️
2026-09-06 20:41:08
6
rizzynine9
**RIZZOX🇿🇦🇿🇦 :
Mm mwenyew naona ngeni ila hakuna ubaya tuwe marafiki😁😁
2026-09-07 05:44:32
19
juniorshayunga
💰Junior🛐.TDM official 🚫 :
nime iomb chat GPT
2026-09-07 04:58:04
7
alambwiye
🔵 ALAMBWIYE 🔴 ALAMBWIYE :
kama ilivyo kawaida tuna view profile kulingana na uzito wa comment 😁❤️
2026-09-07 04:44:59
10
To see more videos from user @yuzzo.068, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About