@zanzibarsailor: Maana ya mufti,sanifu,fasaha #fypシ゚viral #eastafrica #eastafricatiktokers🇹🇿🇺🇬🇰🇪 #tanzaniantiktok🇹🇿 #fypシ

Baharia
Baharia
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 06 September 2026 05:09:40 GMT
5127
409
30
11

Music

Download

Comments

krissdarlin
Tiberian :
As long as we can communicate & understand each other. Kiswahili mufti, sanifu, fasaha na kiswahili kitukuzwe jiekee
2026-09-06 08:51:00
1
bootman021
Bootman🥷 :
na isiwe ni Kenya unaongelea ivo we mzee
2026-09-06 05:47:45
7
cleva.mjomba
Bakora Ya Jamii :
Umemtaja mwalimu wangu Guru Ustadh Wallah Bin Wallah pamwe na Kakangu Hassan Mwana wa Ali. Asante kwa kuwazika wangali hai
2026-09-06 07:39:08
2
koskeisonoya
Koskei Sonoya :
Kiswahili Mufti- Tanzania Kiswahili Sanifu - Kenya Kiswahili Fasaha- DR Congo
2026-09-06 06:07:01
3
zakiabishar
cuzo-b :
ya kucheka ni kwamba hiyo kiswahili fasaha ndio imefanya kiswahili ijulikane😂😂
2026-09-06 06:23:01
3
joe.m.j
Joe M J :
Sanifu kinasisitiza usahihi na sheria rasmi; Fasaha inasisitiza uzuri, mtiririko mzuri na ufasaha wa kutoa maneno; Mufti kinawakilisha uhalisia wa matumizi ya kila siku ya jamii bila kuwa mkali kisheria.
2026-09-06 09:44:22
1
kanyi.junior
kanyi junior :
vikolombwezo.ni nini
2026-09-06 07:08:00
1
saddiidd8
SADDI 我太爱自己了 :
Mufti na Sanifu ni Kenya, wale wengine wasiambiwe maana😂😂😂
2026-09-06 09:19:46
1
raven.soar8
Raven Soar :
Unaongelea nchi zipi Buda mbona unatuchanganya
2026-09-06 08:48:52
1
sweetlovely065
Sweetmusictreaming :
falsafa hiyo Kiswahili sanifu Biblia Mfuti Quran mpo
2026-09-06 07:46:31
1
mkenya_mweupe
realmbogo💠 :
fasaha- tanzania
2026-09-06 11:16:54
0
thevoiceofthemasses1
Owalla Ochieng. :
tutabaki na Kiswahili fasaha
2026-09-06 06:18:09
1
kopala.finest
Kopala finest :
Kenya tulisoma vitabu vya Wala bin Wala....
2026-09-06 11:06:29
0
ally.juma121
Babu Ally :
Joram Nkumbi anaongea Kiswahili gani?
2026-09-06 09:16:17
0
lekenolenanyokie
lekenolenanyokie :
wachana na wakenya
2026-09-06 08:19:35
0
techinfocus
INFOCUS TECH LIMITED :
tanzania mnasoma Hassan mwana wa Ali na wallah bin wallah?
2026-09-06 06:42:25
2
user8357212817583
SWAMI☠️ :
Kiswahili sanifu kifukuzwe kiswahili fasaha na sheng' Kitukuzwe😁😁
2026-09-06 06:03:09
2
hassanenjamo4
Hassan Enjamo :
na shagala bagala😁😁
2026-09-06 05:44:58
1
theancestorshub
THE ANCESTORS :
@alikauleni
2026-09-06 05:24:23
0
sifasherine.com
sifasherine.com :
👌🏿
2026-09-06 10:09:51
0
To see more videos from user @zanzibarsailor, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About