Dada: Next page naomba uje utuambie!! Kwanini mwanamke akiolewa na mume asiekuwa chaguo lake ht aishi nae miaka 10 nazae nae watoto 10: bado ktk moyo wake kumebaki sio chaguo lake?? No change!!
kwa maana hiyo, anguko la mwanaume liko kwa mwanamke...
2026-09-06 07:26:18
1
NCHA KALI GALUGEMBE :
hii imenitokea sana kwa watu nilo kuwa nao wanapenda kukuaminisha eti ni ww tu muda mwingine anaanza flan ananitongza yaan ila mwanamke kweli akimtaka mwanaume kwisha habar hutopata taarifa tena hapo hapo anaweza anza kubadilika ila kwa kua tumeumbiwa akili nyingi ya uchunguzi unakuta unamnasa jmn nawaasa ukiona mwanamke wa namna hiyo huna mke hapo timua mapema kabla bomu halijalipuka 😏😏😏
2026-09-06 07:01:17
0
Dan :
na akiitisha pesa ndio umkule? iyo ni Gani?
2026-09-06 06:36:39
0
Shanty kidoti :
Kweli kabisa ndo mimi ila wadada wengi siku hizi wanalala vyovyote kikubwa apate pesa
2026-09-06 05:55:35
0
François LHB :
accante kutu elimicha
2026-09-06 05:48:42
0
Dika kimisha +225786273990 :
uongo mwanaume ndo anatongoza huwezi kutongoza limwanamke ambalo hunielewi acha kudanganya mwanamke ndo anlala na mwanaume atakekuja mbele yake mwanamke kwanza hakataagi ni wewe utakavyokaza Kuna mwanamke anaweza kukukataa Leo kesho ukaona anajileta mwenyewe