@gaditv: Baada ya kijana anayefahamika kwa jina la Erick Pallangyo mkazi wa kata ya Aker wilaya ya Arumeru mkoani Arusha, kujenga barabara yenye urefu wa mita sabini kwa kiwango cha zege, hatimaye Uongozi wa wilaya hiyo umempatia tuzo pamoja na kumpeleka kutalii, ikiwa ni sehemu ya kutambua mchango wake katika jamii.

GADI TV
GADI TV
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 06 September 2026 05:47:48 GMT
31084
1192
23
13

Music

Download

Comments

ngasomi5
ngasomi :
hadi hapo
2026-09-06 10:22:36
1
user4223018670926
Mahaya :
mungu akuzidishie hapo ulipo toa
2026-09-06 17:54:32
1
chris.kimuto
Chris kimuto :
kama ingejengwa na serikali ya Malawi ni bilioni 13
2026-09-06 08:54:53
1
daynessmallyo007gmail.co
daynessmallyo007gmail.co :
karibu na simanjiro
2026-09-06 11:58:58
0
ntae.masikonde
Ole Sulul :
😁😁😁
2026-09-06 19:42:46
0
ruge770
RUGE :
na Mimi niombeni nitawajekea
2026-09-06 18:57:08
0
.hans.pop.a.town
.Hans pop ₩A town :
ekannuu nsur achen.tengeru inakutambua fanya kandri uwezavo mungu akikubariki towa tu coz ndio alama yako braza .. siza.
2026-09-06 17:33:38
0
luka.laiza1
Luka laiza :
🥰🥰🥰
2026-09-06 16:43:24
0
rosejoram242
penly :
mungu akubariki sana
2026-09-06 16:22:50
0
barakamuro437
BBM437 :
Daaaaa milk oni kumi tu wanatupiga sana serkali wangesema milion 100
2026-09-06 16:21:00
0
aloysiamaiko
Aloysia Maiko :
jamani kaka mungu akubarik ukosehem tani
2026-09-06 15:47:58
0
isaac38475
isaac :
wangekuua ccm utasikia billion moja
2026-09-06 14:57:47
0
bensouda04
bensouda :
kimayiani siaake 🙏🙏
2026-09-06 14:32:41
0
amosleida
amoss leida :
💔💔💔
2026-09-06 13:45:18
0
user49600269979215
user+256755642135 :
💪💪💪
2026-09-06 06:34:51
0
ranadhanirajabu
R50 :
ni kazi ya kodi zinazokusanywa
2026-09-06 11:56:36
0
sinyatihiyaameeki
Sinyati Hiyaa meeki :
sw papalai
2026-09-06 10:44:01
0
ngasomi5
ngasomi :
kutaliii ndo ninii dgo hadi kutalii c maajabu kwake
2026-09-06 10:22:05
0
mr__samweli
Chalii ya Pastor :
Mazengo 🔥🔥
2026-09-06 10:04:28
0
philipomwitewe
philipomwitewe :
kwenda kutalii uwezo anao mlitakiwa mmpe sapota na mludishe fazira sio utalii
2026-09-06 08:44:28
0
moseshusuri1
moses husuri :
ahsante kaka
2026-09-06 08:36:03
0
amanilaizere
amani laizer ✅ :
👍👍👍
2026-09-06 08:18:26
0
mama.d5557
Mama D :
my blood🥰🥰🥰
2026-09-06 06:35:48
0
To see more videos from user @gaditv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About