Asante sana. Mimi hata nikitumia mtu Mpesa msg lazima nifute my balance. Sipendi kuanika my balance ni kama uchi wangu.
2026-09-06 10:12:28
12
Batu :
watumie true caller app.
2026-09-06 07:56:07
11
Virgy Carols :
watu watumue true caller
2026-09-06 17:35:05
2
Queen vally :
Wale tunalipa na Fuliza na pesa ziko Kwa mshwari mikono juu👋👋👋👋👋
2026-09-09 11:02:41
7
mwende :
Mimi lazima niwe na change ya elfu moja ya kulipa cash silipi Kwa Gari na simu
2026-09-07 05:19:13
2
Daughter of the soil 🇰🇪 🇰🇪 :
thank you bro
2026-09-06 06:00:54
7
apst Patrick wanjala :
Ones umeamua kulipa gari na simu pia kuwa tayari kuonyesha massage kama sio hivyo tembea tu na cash,,Abiria wengi hujaribu kusema conductor aangalie kwa simu yake but huwa haiwezekani..
2026-09-06 08:04:51
7
Mwari wa walter :
Mmi nalipanga cash sipendi story za simu
2026-09-07 17:14:28
4
_mwema_🎀 :
mm huonyesha tuh Ile ya true caller yenye inaonyesha pesa umelipa na mtu umetumiaa 😂😂😂be smart
2026-09-06 09:46:45
6
😉😉 :
me nalipaga na katululu🤣
2026-09-07 04:10:36
3
pride. of . kariokor 🐐 :
balance gani na natumia fuliza
2026-09-06 11:50:48
2
MOKAYA :
m pesa app always done good ✅
2026-09-07 02:54:40
1
Mamake Shadrach :
mm naekanga pesa kwa m shwari na kwa m pesa naacha za fare pekee , akili mtu wangu
2026-09-07 11:40:32
1
Eliud :
kama hauko tayari kuonyesha message beba cash simple mahali popote kuna kulipa na Mpesa lazima uonyeshe hiyo message
2026-09-06 20:37:23
2
remy Nigaba osanya :
na mwenye furiza 😃😂😂
2026-09-06 07:55:01
4
To see more videos from user @macknon_nana, please go to the Tikwm
homepage.