nondo, mchanga,mawe kokoto,misumari, bomba za nguzo, wire, binding wire, mbao za lenta ,saruji hivi umemuachia Nani
afu pia gharama za kupauwa na kusimimamisha ukita hazifanani yani 800k kwa vyote hapo umetupiga
2026-09-06 12:29:40
79
C1 :
Nondo, Misumari, Cement ya kujengea, Maji kumwagia, usafirishaji na bingine mlivyosahau vipi navyo.?
2026-09-07 14:38:42
3
misangasongoro :
no nondo no cements no mchanga duuuh😅😅😅
2026-09-10 13:34:06
2
Casto :
sijaona nondo Wala wa cement
2026-09-06 15:25:00
5
Arabizo :
kwahiyo mnajengea matope au? maana hakuna cement wala mchanga! na hilo tope mnabeba kichwani? maana hakuna usafiri! na hiyo nyumba haina lenta? maana hakuna kokoto!
2026-09-16 09:13:47
2
Absalommwangoka :
hujatumia mchanga wala cement tuache mwanetu
2026-09-09 22:06:35
6
Hamida Al Qasmi :
Cement,kokoto,kifusi,mbao za kenchi,mchanga,mbao za rinta,misumari,binding wire,fisher body,
2026-09-08 11:43:19
1
mleno luis :
jaman ela nyingi ivo tuta jenga kweli sisi yan ata milion mbili tu mbinde
2026-09-07 07:27:54
0
The rock :
kweli kiboko no cement no mchanga no nondo no mawe
2026-09-11 15:23:09
1
mustdesire5 oparetor :
bei ya fundi aliesimamisha boma bado sijaiona na sementi sjaona nondo sjaona mmchanga kokoto mawe
2026-09-26 12:03:39
0
@punguzo :
Nyumba bila cement, mcha
2026-09-06 15:57:33
2
DON MTEI RICHFOREVER :
jichanqanye uwaftishe
box likisimama ml 7 mpka8
kupaua bati na mbao fund 7 mpka 8
apo amna amna 15