ninae na mimi mwanga hatuongei miaka 6 ila ndo napenda.😅
2026-09-06 19:34:38
1
spora :
niweke status au
2026-09-06 06:04:58
1
linxy dielah :
mimi jirani yangu alinichukia mpaka alikuwa ananiroga
2026-09-06 18:39:54
3
Mrs Abeid :
leo yamenikuta hayo hata kuhama bado nikihama itakuaje 😭😭
2026-09-06 16:13:10
3
awa phiri :
sahihi.kabisa.mimi.nnae.jirani.kama.huyo
2026-09-06 18:53:17
3
machomzungu :
Ni kweli kabisa. yaani jirani anaweza kuyajua maisha yako hata wewe mwenyewe huyajui jamani. na huaga hawapendi maendeleo ya wenzao me niliendaga nyumbani kulikua na shida nyumbani nikakaa miezi miwili tunawasiliana na mume wangu vizuri tu majirani wakazusha nimeachika eti nimepewa talaka 3 wakati sisi Dini yetu hainaga talaka🤣 sasa nikawa najiuliza kwa mfano hata ningepewa talaka wao ndio wangeolewa na mume wangu?🤣 wivu wa bila sababu kama wachawi
2026-09-06 14:37:30
0
esterkessy403 :
ndio jirani yangu haitiki Salamu yangu yy na mume wake jaman na sijawah kuwakosea
2026-09-06 16:14:39
5
maryamwaziry :
jirani anakuchukia bila sbb hata salamu hakupi n hujamkosea #wewe bb unaongelea vitu vipo kbsaa tunaishi nao watu wa hvyo
2026-09-06 18:31:16
1
Elizabethmichael Michael :
kwer baba angu kama majiran zangu wanafitina paka kero
2026-09-06 09:29:09
0
MISSZANZIBAR😍 :
Yule mama anakz ya kunivunjia naz loooh poooh
2026-09-06 22:45:06
0
big bo :
niweli kabisa
2026-09-06 20:29:09
0
user2130058432471 :
kweli
2026-09-06 20:27:08
0
annamsuya699 :
sema tupone baba
2026-09-06 20:37:37
0
lucymaina40 :
Ukweli 😂
2026-09-06 20:32:03
0
To see more videos from user @iamipm1, please go to the Tikwm
homepage.