@zeynat88: Kuna watu wanaamini kwamba ili upunguze uzito lazima ushinde na njaa muda mrefu Lakini kama mpango wako unakufanya uwe na njaa kali kila siku, ni rahisi sana kufika mahali ukashindwa kuendelea nao. Unavumilia siku mbili. Tatu. Nne. Halafu siku moja unajikuta unakula zaidi kwa sababu mwili na akili yako vinahitaji chakula. Hapo mtu anaanza kujilaumu: "Mimi sina nidhamu." "Mimi siwezi diet." Lakini wakati mwingine tatizo si nidhamu yako. Tatizo ni kwamba mpango wenyewe haukuwa sustainable kwako. Mpango mzuri unatakiwa kukusaidia kufanya mabadiliko ambayo unaweza kuyaendeleza, si kukutesa kwa muda mfupi Labda hauhitaji kujaribu diet nyingine tu. Labda unahitaji mfumo tofauti. Kama uko tayari kuanza safari yako kwa njia yenye mpangilio na inayolenga mabadiliko ya kudumu, nakualika ujiunge na programu yetu ya kupunguza uzito. Usingoje mpaka mwezi ujao. Usingoje mpaka Jumatatu. Anza na hatua moja leo. Kama ungependa kupata maelezo zaidi kuhusu programu, njoo tuzungumze tuma ujumbe wenye neno “ANZA” kujiunga. kupitia WhatsApp no👇 0688 484 174 Tutakueleza programu inavyofanya kazi, inakufaa kwa namna gani, na hatua za kuanza. Na kumbuka: Huhitaji kuwa mkamilifu ili kuanza. Unahitaji tu kuwa tayari kuanza. Uzito unaopungua ni matokeo. Tabia unazojenga ndizo zinazokusaidia kufikia lengo lako

Mwili Smart
Mwili Smart
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 06 September 2026 06:13:54 GMT
2863
28
0
1

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @zeynat88, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About