@beytvonline_255: Aliyewahi kuwa mchezaji wa klabu ya Young African Sports Club Clatous Chama aliposema alilazimishwa kujiunga na wananchi unadhani maneno hayo yalikua ya kweli? Tupe maoni yako 👇 #trendingtanzania🇹🇿 #clatouschama
Huyu jamaa alikosa ufalme Yanga ALIDHANI angekuwa mfalme kama simba
2026-09-07 05:56:52
21
petro Nandrie :
camera zimemnasa
2026-09-07 10:37:38
2
@Norah-Ney❤️🔥 :
Shida yanga mastaa ni wengi hakutegemea 😁😁
2026-09-07 09:18:39
0
Said Tandale. :
Ila siku chama akikutana na chama watapigana sana😂😂
2026-09-07 00:38:29
0
Elias martin :
Kuna watu wanashindwa kutofautisha Kat ya kucheka na furaha
2026-09-07 08:53:58
2
MACHEBO_SCOMBISO 👀 :
sio chama to kuwa na furah kuwa yanga ata 2kimsajili muwekezaji wao M0 py na yey lazm awe nafurah 😂😂😂😂😂😂
2026-09-07 03:32:25
4
MARCOM KASSIM :
jamn c kaongea kwaajir ya timu yak kwasasa mbn chasambi alivoulizw lolimod wak nan akasemg max lkn mamb yakawa mabay kwaupande wak kwaiy Kila Mt anaisia zak na anajib swal kutokn na sehem alipo
2026-09-07 15:51:21
0
user35780877815680 :
mi natamani uyo Rasta arud yanga aucho
2026-09-07 12:14:10
0
idy toz :
Binadamu sio watu wa kuwamini wanabadilika mda wwote
2026-09-07 13:05:49
0
DMO :
chama ameona nyakati zake simba anatafuta namna ya kubaki simba kwa muda mrefu tusimlaumu maisha ni strategics
2026-09-07 13:22:57
1
willyjambo75 :
leo injinia hersi anasema alilazimishwa kusaini na injinia hersi 😂😂😂
2026-09-07 13:48:53
0
mom D :
Toka Leo Mimi ni eng heris
2026-09-07 05:52:11
0
shabanikilima :
ila chama😂
2026-09-07 11:21:32
0
Joseph William :
Azizi Ki anauliza uyu ni nani🤣
2026-09-06 17:13:49
1
Steven De Lion (Apeche alolo) :
akuwa na furaha yanga sio na wachezaje wanzake
2026-09-06 09:59:57
0
zabrah the peace :
eeeeh haiyaaa 😂😂
2026-09-06 20:54:39
0
𝒟𝑒𝑒𝑒 🎶 :
😅😅 hila chanuoo
2026-09-06 18:44:31
1
Nana💘love077 :
alikuwa na furàha singida uyo😂😂😂
2026-09-07 05:44:19
1
Loyal og :
tapel to nan amtukuze
2026-09-07 13:37:39
0
@TameerIslam :
Nlikua sijui kama na yeye ni zwazwa
2026-09-07 11:24:29
0
mwanga :
Sasa hiyo furaha au kusogeza siku ziende tu😂
2026-09-07 10:30:15
0
Baraka :
chama akili ana
2026-09-07 10:18:11
0
bb de job :
shida alitaka kuwa engineer mapema basi Simba mpeni 🪑🪑 mr Yuda chama awe engineer uko au na nyinyi ata wakana mapema yuda wa bongo🤣🤣🤣🤣
2026-09-07 08:01:04
0
bin Hussein Khan :
mwambie aziz ki huyo ni yule jamaa anaitwa chama e k a chanuo
2026-09-06 22:30:05
0
To see more videos from user @beytvonline_255, please go to the Tikwm
homepage.