@hope_maudaku: Ila siwa 😂🔥🤌 USISAHAU KUTUFOLLOW NA KULIKE POST ZWTU ILI UWE WA KWANZA KUPATA UMBEA WA MJINI WA MOTO 🔥🤌 #FollowersGrowth #tanzaniantiktok🇹🇿 #swahilitiktok #umbea #bongotrending

umbea wa mjini
umbea wa mjini
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 06 September 2026 07:28:18 GMT
256458
17642
411
1570

Music

Download

Comments

lailath.mohamed2
Lailath Mohamed :
mpendwa siwa weeeeeeeee kweli wampeti mmme
2026-09-22 07:08:51
0
user4982592615803
cayter :
Nilichogundua mm na mume wngu tunahitaj mke 😁
2026-09-06 19:41:00
589
raulah0
ASM :
Na mnaachika kila sku siogeshi Mtu mm
2026-09-06 17:51:19
133
zubbyalma2
💗Habibty Zubby 🌹😘 :
Mum giving us advice 😂😂
2026-09-22 06:38:00
6
glorykimario145
Gloria j kimario :
Nikikumbuka wangu siku nilijaribu tu kummunulia boxr nyeupe hakurud alilala huko sijui ndio alienda kuriingishia boxr yake maskini😂
2026-09-22 03:14:26
37
user5033445733731
user5033445733731 :
mume wngu asionee mana hajui km watu huwa wanakoshwaa
2026-09-06 16:11:36
223
loveness.joseph91
loveness cosmetics 💄💞💋 :
😂😂😂😂😂😂😂niongee kwa kusimama au kwa kukaa
2026-09-22 06:35:51
5
gnana493
gnana :
nikikumbk alianguk n ndoo bafuni me nikiwa nkul miwa😂
2026-09-21 12:54:27
37
twigaaquariusluxe
ms_walker✨♒️ :
Huyu wangu nikitaka kumuogesha anajua nataka kumuomba hela 😂😂😂😂🙌🏾🙌🏾
2026-09-08 15:18:33
79
leluumfaume
leluu mfaume :
haaaaaaaaa ila siws
2026-09-21 05:31:15
1
blackwa706
blackwa706 :
watu wa tanga kwa kujiamulia mambo
2026-09-21 10:34:39
11
sneviafredrick
vee&linah🤍 :
nishagundua bado Kuna mengi sijaona
2026-09-20 17:15:50
5
namymkwizu4
🦋Beterflay🦋 :
Na bado wanaachika
2026-09-21 09:51:16
7
amriya_collection
mamaiya_collection :
siwahi kuogesha jitu zima lenye vuzi
2026-09-07 08:43:11
30
fato44288
fato :
Penzi jipwa hilo tunasubiri hapa hapa
2026-09-06 15:44:22
16
zulai.yahya
Zulai Yahya :
Kwani vinamuda😂😂
2026-09-06 13:16:40
16
florahmvungi_uswazi
FlorahMvungi :
Jamani mimi ni mwanamke kweli au mwanaume na sijui??😂😂😂
2026-09-07 12:01:20
10
ms_shelo
SHELO💕 :
ila zai eti whweeeeeee😂😂
2026-09-06 15:15:45
11
user1718614903284
chabi :
siogeshi mtu na mume wangu ndio huyo huyo
2026-09-07 10:10:03
9
user8498601185981
cateqeen😘 :
🤣🤣 ninachoona mimi na mpenzi wangu tunahitaji mpenzi
2026-09-07 18:05:54
7
fayhanat.product
fayhanat product :
Siwa unaniuwa
2026-09-07 13:04:40
5
wee.tiktok.comfaiza
sweetie fay :
wakuenda ataenda tuh hata umfanyie nini
2026-09-22 12:53:06
3
queen.shamcia
queen 001 :
ila mm mama napenda haya lkini nilioko nae,....hayumo kabisaa
2026-09-21 11:54:32
1
kimberly452mm
miss Tinah❤️ :
jamani ndio mana kutwa naachika😂😂
2026-09-10 17:30:54
1
magrethmalisaf
Mg Tz ❣️🌹😜 :
Nimegundua mim Nina roho mbaya 🤣
2026-09-22 16:35:42
1
To see more videos from user @hope_maudaku, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About