Amen in shaa llah bora kina lulu da twaiba hata wakwambie vipi me love you 🥰
2026-09-06 14:52:09
0
TWAIBA_CLASSIC :
Amen asanteni mungu abariki dua zenu
2026-09-06 14:49:32
12
Jojja's :
Hata usijali na maneno ya binaadamu.Ur a strong woman u choosed a beautiful circle around you.Ur always with Allah and the angels.Allah azidii kukupa nguvu my sis
2026-09-06 15:26:12
0
Alia Jovenary :
Umeongea kwa uchungu kipenz Allah azid kukulipa kheli
2026-09-06 09:54:21
40
simply_bridgit :
your doing a good job
2026-09-06 14:24:23
0
Baddie :
Wasikupangie maisha tutasimama na wewe. Hasbunallah wanemal wakeel🥰
2026-09-06 08:34:56
28
amina mweteni :
hasbunalah wa animal wakeel
2026-09-06 08:53:37
0
Hidaya Said :
Da Twaiba usinilize kipenzi wallah nina mtoto wa hvo mm ndy najua nayopitia Mungu azidi kikupa riziki akukinge na kila baya
2026-09-06 10:08:31
15
yasra@ :
be blessed 🙌 😇
2026-09-06 15:30:58
0
liladesigner95 :
bubu kaongea leo😁😁😁😁
2026-09-06 12:55:02
1
Abdulla Said :
safisana
2026-09-06 16:14:55
0
Rehema Khalifa :
Hasbiya~llah MaShaAllah, Allah akujaalie Subrah, Akujaalie kheir na Baraka tele Duniani na Kesho Akherah.❤️Nakupenda sanaaa da Twaiba
2026-09-06 16:13:14
1
rose mayunga :
Achan nao mama twaiba mungu ndo mlipa wa yote
2026-09-06 09:25:45
9
tulimbwile :
Mungu akusimie kwenye Kazi zako na kuwapende Watoto
2026-09-06 09:01:48
8
safinelly❤️💗 :
nanianachokoza rafikiyangu 😔😔😔
2026-09-06 13:01:21
1
user209437 :
mama Wacha nikuambie kitu mmoja wao mahasidi hawakerekwi na wewe kuangalia hao watoto basi sababu ni wewe kuendelea kimaisha,ndio KAZI ya mahasidi
2026-09-06 12:27:27
6
isfahaan :
hawakujui ulilopitia kw ganukiii.walikutenga n kukuchek watu wak w karib n wale uliowasaidiaa.umechagua kilicho sahihi n mungu atazidikukufungulia,waja wamejaw n husda n chuki zisizosababu.
2026-09-06 13:58:18
1
Samuel :
ALLAH AKUJALIE UMRI MREFU UENDELE KUWA LEA WATOTO WAZURI MASHALLAH
2026-09-06 11:53:30
1
fettynassor3 :
Allah atakulipa InshaAllah achana na maneno ya watu dada
2026-09-06 10:37:30
1
madina :
inshallah Allah azidi kukujalia yenye kheri zaiidi
2026-09-06 08:46:31
1
official salma🤍✨️ :
achana nao Twahiba sisi tunakupenda sana sana kwa moyo wako wa huruma na upendo Allah atakulipa inshaallah endelea kuwapa faraja watoto wetu
2026-09-06 12:08:20
1
Khairia Hussein :
Twaiba twaiba twaiba wallah watu wabaya usiache na usiache
2026-09-06 10:35:34
1
cognitive impairment :
hawa watoto sio mtihani hawa ukipewa na mungu ujue mungu amekupenda hawa ukikaa nao vizuri umeipata pepo
2026-09-06 11:22:39
1
user6548624278629 :
Allah atazidi kukuwezesha, Allah atakuhifadhi from evil eyes habibty,
2026-09-06 17:04:52
0
fafipoetryp :
kabisa aunt yangu
2026-09-06 17:05:12
0
To see more videos from user @twaiba_classic, please go to the Tikwm
homepage.