@jamiiforums: DAR: Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi aliyasema hayo kwenye mahojiano ya Medani Kuu na Mwandishi Edwin Odemba, Septemba 5, 2026. #JamiiForums #Utawala #Uwajibikaji
JamiiForums
Region: TZ
Sunday 06 September 2026 08:08:22 GMT
Music
Download
Comments
soli0202 :
that's what they call a nothing burger
2026-09-06 15:54:10
0
maige mpassa :
Chama kinachoongoza Dola hakijui Nan anaeteka watu ....maana yake Nchi haiko salama ....kila raia ajilinde mwenyewe .
2026-09-06 11:16:33
25
Simon yona kalidushi :
daah nataka kukoment ila nahofia usalama wangu
2026-09-06 09:42:07
11
chumadede :
kwa hiyo mmeshindwa kubain,basi nchi imemishinda
2026-09-06 08:42:00
10
Amina Urassa :
kuhama tanzania nibonyeze ngap😳
2026-09-06 10:13:50
11
Casper 🧠 :
Ila jamaa Ana logic kabisa yan
2026-09-06 10:54:24
6
Revocatus Shirima :
ila huyu jamaa akalime tu
2026-09-06 10:00:19
5
Breezy :
😂 Kwa hiyo idara nzima ya Usalama imefeli kulinda wananchi dhidi ya watekaji... Aisee FUTUHII I.. NDIYO. NI FUTUHI
2026-09-06 13:32:19
6
abdiel_francis :
2026-09-06 11:53:15
3
baraka :
mungu wangu yaani hajui anae teka watu
2026-09-06 09:42:25
4
lucas :
swali zuri lakini hawezi kusema ukweli
2026-09-06 10:19:47
4
~smith :
ungemuuliza angetekwa mtoto wa rais wetu, angejibu hivyo....???😂
2026-09-06 10:37:48
3
Elly@120 :
kwanini wanatekwa wanaoikosoa serikali inayo ongozwa na ccm pekeyao
2026-09-06 11:08:31
4
north_star :
jwtz, polisi wapo afu hii serikali ya ccm inasema hawajui walioua October 29, in maanisha jwtz na polisi wameshindwa kufanya kazi yao si ndio?
2026-09-06 13:41:59
2
subaQa :
ukimsiliza kwa umakini odemba haulizi maswali ya msingi (hasa maswali ya papo kwa papo)
2026-09-06 12:24:37
1
odo :
wanaousika wapewe wanachinwawashughulikie maan ndio kelo yao na inatengeneza maswali mengi wakipataikan wapewe wananchi wawashughulikie
2026-09-06 10:43:47
1
Yesu Mpuya kazimili :
🥺🥺🥺🥺😂😂
2026-09-06 09:10:51
2
Robson :
na ni kwanini wanaotekwa ni wale wanakosoa CCM
2026-09-06 19:10:17
1
mwaget :
mwisho wa siku odemba mwenyewe watakupoteza kwa maswali yako
2026-09-06 21:58:54
0
Nguku Wa Midundo :
ni muda sasa CCM ikae pembeni wapinzani nao wapewe ikulu huenda ikawa ndio ponapona yetu!.😳😳😳😳😳
2026-09-06 21:02:57
0
Michael Majenga :
mwenye masikio na asikie
2026-09-06 19:57:07
0
rammy :
wanafeli
2026-09-06 19:17:00
1
mr swai🗣 :
kuishi tz ni ujasiri toshaa😂
2026-09-07 06:07:31
0
To see more videos from user @jamiiforums, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.