@vicentjames2: Tusitishane😎

Vicent JJ
Vicent JJ
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 06 September 2026 08:30:57 GMT
37213
1679
203
154

Music

Download

Comments

nyangema77
NYANGEMA77 :
Wewe pia hutaamini subiri😂😂
2026-09-06 18:17:43
70
eze___2209
𝐄𝐙𝐄🍃 :
God is awesome
2026-09-10 12:30:56
1
capricon_tz5
LEO TENA _USED OFFA :
Hakuna moto mungu ni mwenye upendo
2026-09-07 13:51:58
24
babemama86
babemama86 :
Nitakuwa mkali kidogo🤣🤣🤣
2026-09-11 20:57:20
1
judie._v
Judie._V :
Kuna mtu alisema "bora ata ningekuwa naomba najibiwa. hiyo siku mungu na yesu wataacha ndala" 🙌 sio mm lkn
2026-09-07 16:40:33
12
ndemba.joseph6146
Ndemba :
Watu mmeanza mapinduz mapem San mbn
2026-09-06 15:04:30
11
bazil948
@Christian :
Toka tareh 29 October ipite nchii hii haiko Sawa kbsa😂😂
2026-09-07 17:00:55
10
mlinde.malege
mlinde mboje :
yaan malaika wataacha ndala
2026-09-06 15:48:56
5
_soso_3425
Soso :
Ukiwa mzima wa afya,,,unakuwa na uwezo kuongea chochote unachotaka...kivyovyote tu. Haya wanetu...si Mungu babu yenu.
2026-09-10 07:37:14
1
bastoo.19.naela
Bastoo memes :
Na alisema ataludi kumbe ndo ametutelekeza uku tukiteseka.
2026-09-08 07:54:01
1
jordan.wizzy0
Jordan 🇴🇲 :
DAH MUNGU ANIDHIHAKIWA KIAS HIKI HATA KAMA HATUNA UHAKIKA LAKIN HAIPASWI KUMZUNGUMZIA HIVI MNAKOSEA SANA
2026-09-09 17:03:19
1
johanitha.josepha
Johanitha Josephat :
Hawa ndo gen Z
2026-09-08 14:38:14
1
neywema
da vee :
hii nchi kuna mahali imetoboka 😅😅
2026-09-08 07:28:15
1
abechedemaile
daddy Prosper😎 :
akilizangu 🔥🔥😂😂😂😂😂😂
2026-09-09 22:23:22
1
tafarmakonnen75
🥷Tafar makonnen🥷 :
Mungu mwenyewe anashangaa mi ndo niliumba awa magaidi??[Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-07 09:56:25
7
mchuganisttza
AT TAWHEED :
safi sana kijana
2026-09-07 01:05:13
0
user9075445552160
user9075445552160 :
Astaghfirullah
2026-09-07 14:07:45
0
salumu.issa5
Salumu Issa :
Binadam Alidhani Ataachwa tu ivi Aishi Anavyo taka kila kitu kina chimbuko Hakika Ahadi ya M.mungu ni ya kweli💯💯
2026-09-07 04:37:57
1
tressah.tressah.1
Tressah200 :
utawashangaza mwanetu 😂😂😂
2026-09-07 09:58:16
2
runna7314
Runna :
bola umenistua😂😂😂
2026-09-08 10:24:36
2
malifedha74
malifedha@£ :
et ata Acha.dala😁😁
2026-09-07 09:33:05
2
zubeirvinoot
ZUBAYR Vinoot :
nakwambia hivi na wewe hauta amini
2026-09-07 13:34:52
2
To see more videos from user @vicentjames2, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About