Baba yupo lakini haya maombi naomba yampite na yaende kwa baba yangu wa kambo maana bila yeye sijuwi ningekuwa katika maisha gani na najuwa huwenda ningekosa malezi na upendo wa baba na pia alinipa jina lake licha ya kuwa mimi si binti yake wa damu lakini alikuja katika maisha yetu kama baraka Mungu naomba amlinde kwa ajili yetu na mpenda sasa baba yangu kipenzi🙏🙏🙏🙏
2026-09-06 19:32:51
3
mama G :
Mwenyez mungu mponye baba yangu na maradhi yanayomsumbua kila siku
2026-09-07 14:05:35
4
Lady Divine 😘 :
Leo najisikia kumuombea Baba yangu🥹🧎♂️🤲🙏
MUNGU fungua milango ya baraka to My Daddy that man deserves it all🤲
Ni baba na nusu 🥹❤️❤️❤️❤️🙏🙏
2026-09-06 16:29:07
3
Miss imelida2 :
Amen
2026-09-06 11:04:51
2
PROTA JV🚀💜🇨🇵 :
Mungu akulindie baba yako kipenzi🥺🙏
2026-09-06 19:20:45
1
mumyDoka🥰 :
ni miez 3 sasa tangu umeondoka baba yangu kipenz nimebaki mwenyewe naangalia nyumba naona kama unanisemesha,pumzika kwa Aman my hero msalimie Mama mtoto wenu nimewakumbuka sana😰🙏
2026-09-09 07:01:34
0
fredy :
mungu amlinde my dady penda sana yeye
2026-09-08 20:00:56
1
mimah j :
bora yako ulipa baba mzuri😌
2026-09-06 11:26:28
1
queen♥️ :
amna
2026-10-16 16:22:10
0
🦋Shuu cute🦋 :
R I P dady 🥺🥺
2026-09-06 15:58:17
0
judie💋 :
Ameeen
2026-10-14 10:50:45
0
sheila_collection3 :
RIP my dady
2026-09-30 06:41:44
0
Aiem- Noor🦋 :
Haya maombiiii yaend kwa Mom yangu🥺🫂
2026-09-18 10:19:48
0
lena❤️🔥✝️ :
Amen 🙏
2026-09-06 10:59:32
0
pretty G🥰💝 :
Ni zaidi ya baba na nusu[Hug]
2026-10-04 08:57:03
0
Melanin🫦 :
Natamani na me ninge muombea ila ayupo Ngoja nimuombe uko alipo🥹😭 mungu ampunguzie adhabu ya kabuli uko aliko Amina 🙏🏻
2026-10-09 06:08:26
0
HAPPY :
Amen
2026-10-01 09:25:29
0
@Official Dinah🦋🌻🌻 :
Amen
2026-10-15 06:27:17
0
Neema John :
amen 🙏
2026-10-17 12:14:01
0
Miss Ommy🥰 :
Duuh endelea kupumzika kwa amani my HERO 😭
2026-09-09 12:22:13
0
NeloVibe12 :
moja tafadhar for grandmother appreciate
2026-09-20 05:27:39
0
Rahma :
mungu nirindiye baba yangu
2026-09-17 07:38:00
0
jescarlucas :
ameen
2026-09-17 06:17:35
0
Espe jeje🦋💙🔐 :
Mshua credo siame❤️🔗
2026-09-20 07:32:28
0
sweyaa3 :
Amen
2026-09-06 15:05:07
0
To see more videos from user @iamneyjojkimby, please go to the Tikwm
homepage.