😭😭😭😭😭 he's so generous,,God please give him someone worthy
2026-09-07 06:26:16
110
mamake doreen :
part 2 haraka ama nilike Video zako zote😢
2026-09-06 10:42:34
147
Shee :
:moral of the story... Tuku wange na maziwa Kwa nyumba Kila siku.😅😅
2026-09-06 19:23:55
79
NANCY JUMA(miss) :
that's y we left church but not God
2026-09-06 12:37:48
92
Tairah Achieng :
Women also mnakosea sometimes😢😢😢
2026-09-07 05:07:12
35
aginga princes5 :
mapastor wamearibu ndoa za watu hata Mimi ni victim Hadi sitakangi kwenda kanisani
2026-09-07 04:44:35
133
Rose :
Bado unamwita mke wangu, wooooi😭😭
2026-09-09 05:29:01
5
Beckyjb20 :
mimi i was almost raped by a so called apostle wa kanisa ,ilibidi nihame hio kanisa
2026-09-07 10:07:15
8
LHY :
I left church but not God
2026-09-07 03:42:49
20
zainab💞💞 :
paster ambia huyu kijana akuje kwangu
2026-09-06 14:14:09
35
KING 🤴 :
Alex sorry bro😭😭
2026-09-07 17:03:16
2
✨official gifty✨ :
dunia haiko fea Kuna wanaume wazur wanapata wanawake wabaya,,,,Kuna wanawake wazur wanapata wanaume wabaya 🙆🏽
2026-09-07 10:43:17
7
ngila1996taita2 :
Haki he is so generous, vile anasema mtoto ni wangu i love that. Barikiwa sana kaka😍
2026-09-08 09:23:10
5
user90201191792761 :
Ata mm Kuna pastor anaitwa pastor rumba alikuwa analala na bibi yangu kila siku nikienda kazi, malindi Mtaa wa maweni pendagon, na mpaka nilimnunulia huyo pastor mabati 20, tusiamini pastors Kabisa
2026-09-07 06:13:34
5
doreengakii Frank :
Mimi nlipotez Mtoto alafu bishop wangu ananiambia sifai kmzika nyumbani juu hana profile nmtupe ,,ady waleo iyo kitu uniuma n Nikashidwa kweda church kabisa but nlizika my girl ,,nliboeka kabisa na maposter
2026-09-07 04:13:11
8
baba essy :
wanaume wanayapitia huku nje haki
2026-09-07 06:32:59
6
Nyawira👑💖🇩🇪🇰🇪 :
this man has really suffered in the hands of that woman eeeeei hii ni madharau ya hali ya juu
2026-09-06 15:33:56
24
Suzzy❣️ :
kwani maziwa inanunuliwa 4 how long?
2026-09-06 13:14:48
26
sharon :
justice for this guy
2026-09-06 17:11:04
37
Gloria j kimario :
Mwanaume ana mapenzi ya dhat jaman
2026-09-07 04:55:34
8
QUEEN JANEY 👸 👑 :
wanaume kama hawa wanapatikana wapi waa😳😳
2026-09-06 15:17:02
6
To see more videos from user @above.only9, please go to the Tikwm
homepage.