Yupo shule gani jamani nimpatie zawadi. Mimi ni mwalimu ameniumiza san
2026-09-06 12:02:38
138
Nuru Andrew :
mwalimu shaban madobe uyo
2026-09-06 15:23:10
21
Noor Ulfat ✨ :
shananiiiii eeeeeh weeeee shabaniiiiii😅😅😅
2026-09-06 20:14:25
0
😜Mrs Shi😘 :
Congratulations mtoto wangu mzuri
2026-09-06 20:07:54
0
kiperiking2 :
good may bless your little sister
2026-09-06 18:41:44
0
v.Totto :
bila shaka mwalimu shabani ni mwalimu wa field 😂😂😂😂
2026-09-06 15:54:49
63
princilla :
mwalimu shaban mbiguu utaisikiaaa 😂😂🙌
2026-09-06 16:45:08
21
rose marry josefu👸👸👸 :
mwalim SHABAN haoni kama mimi nimepambans🤣🤣🤣
2026-09-06 12:08:29
39
MamRingo :
hv mnajua huyo mtoto anatoa huruma
2026-09-06 16:41:10
20
Ghost Marine@$€} :
Msichokijua mwalimu shabani anampenda Sanaa huyoo mtoto yaaani kumnyima zawadi hapo ndo amezidi kuchochea morale ndani yake azidi ku perform zaidi ya hapo. Mwalimu shabani ni bonge la teacher na good psychology
2026-09-06 16:06:56
69
G Fashion shop 👗👗 :
new challenge 😂😂😂
2026-09-06 20:13:49
0
Hope💐 :
we shaban we shabani weshaban
2026-09-06 18:42:42
0
@Gauni 🐈⬛🐈⬛🖤 :
kalia Kwa uchungu mbaka na me nimelia aisee
2026-09-06 19:13:00
7
edco :
320/100
2026-09-06 16:45:55
0
mohdsaleh480 :
Mzazi unatakiwa umfariji mwanao kwa maneno mazuri na sio uoneshe kama mwalimu wake amekosea. Kwanza ungemuuliza amepata 80 yeye ni mtu wa ngapi? Usikute yeye wa 4 halafu zawadi wamepewa 3 bora, sasa hapo mwalimu ana shida gani?
2026-09-06 15:46:31
17
linna :
mama naomba namba zako nmtumie mwanao ya madafutari jaman
2026-09-06 15:47:15
10
nzola khan :
Yani nikimjua mwalim shabadi kazi anayo
2026-09-06 12:27:06
25
Abdul 👑♉️ :
Kwann mwalim shaban lakini
2026-09-06 11:25:45
28
MK :
Mwalimu mwalimu nakuita mara 3 mtoto anafaa kutiwa moyo na sio kuvunjwa moyo nakushauri mzazi nenda kaongee na mwalimu, he is not professional
2026-09-06 13:05:37
5
ruurama :
hatokuja kupenda Tena mwalimu shabani mbaguzi sanaa