@thobyonlinetv: Influencer na mfanyabiashara maarufu mwenye asili ya Nigeria na uraia wa Uingereza gho 'Tiny' Ubiribo, amefariki dunia baada ya operesheni ya kukuza uume iliyofanyika nchini Thailand kufeli, Kulingana na taarifa, operesheni hiyo haikuenda kama ilivyotarajiwa na kusababisha kifo chake. Baadaye, mwiliwake ulizikwa jijini London, Uingereza, katika jeneza la dhahabu ambalo linaripotiwa kugharimu dola za Marekani 745,000 (takriban shilingi za Tanzania zaidi ya bilioni 1.9).

thobyonlinetv
thobyonlinetv
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 06 September 2026 09:39:16 GMT
39768
1070
59
251

Music

Download

Comments

ruwayda.soud8
Ruwayda soud :
Inasaidia nini sasa hiyo pesa angejenga vituo vya yatima tuuu
2026-09-06 11:09:49
53
sammycute132
Sammy Ochu❤️ :
Rip legend
2026-09-06 17:32:03
0
user4027578125312
Sabila 😘 :
kwamba hatooza [Tears of joy]
2026-09-06 10:18:53
12
mr.robot360
mr.Robot :
Please share location 😥
2026-09-06 11:59:59
0
user5908627881218
masigeanna :
what a bad news !!!
2026-09-06 10:52:58
0
rine.fave4
rine.fave💝 :
Siku sio nyingi tutasikia watu wasiojulikana wameenda kufukua na kuiba Hilo jeneza 😢😢🙏
2026-09-06 11:56:10
13
rashidalliys
rashidalliys :
angekuja nimpe huu wakwangu
2026-09-06 15:16:10
1
giftkitika220
kamchape og :
masikini ya mungu angekuja kwangu me napenda sana ndogo
2026-09-06 11:55:44
3
user666834444
BABA SANIA2 :
daaah au basii acha ninyamaze😊
2026-09-06 10:51:40
3
its_hamisa
Its_hamisa💕 :
Anazikwa wapi nije
2026-09-06 18:34:59
0
witne264
witnes🫰🌹 :
nacheka kama mazuli😂 😂
2026-09-06 17:19:17
0
ma.li9740
ma li⁰9 :
umesikin wang utaniepusha nameng🙏
2026-09-06 12:40:29
0
user7344036616551
jaysulley :
Jmn jmni
2026-09-06 16:36:51
1
amosifau60
Amosi fau60 :
Vituo vya yatima mbona serikali imeshidwa
2026-09-06 17:38:47
0
naida.william7
Naida William :
akome tu
2026-09-06 15:46:44
0
olengalesoni
sidai engai :
kwahiyoo
2026-09-06 13:59:09
1
belinda_255.1
belinda_255.1 :
sawa aina shida si kaamua yeye😂
2026-09-06 12:37:04
0
savageson27
it's s𝕒𝕧𝕒𝕘𝕖𝕊𝕠𝕟 ♾️ :
2026-09-06 10:45:45
0
bi.marym
mariam🦋 :
me sijuinkusoma au
2026-09-06 10:15:10
0
godfreyraymond901
Mr.Cash tž :
kwamba hatooä ama duuh...☺️☺️
2026-09-06 18:17:27
0
papillon9963
papillon... :
2026-09-06 12:09:42
0
estherjohn1627
Angel 🥰 :
sawa sawa.mungu ampokee kwakumkosoa mungu aromuumba nakumpa uume sainzi ndogo yy.akatengeneza mkubwa ampe wepesi wakujibu maswall
2026-09-06 16:11:29
0
prisca.erick.ngwi
priscah :
duuuh
2026-09-06 10:51:49
0
zuu4781
💛🧡🧡zuu💚💛 :
wapi kazikiwa nikafukue niuze nipate mtaji wa kuuza kuku mie
2026-09-06 10:26:22
1
To see more videos from user @thobyonlinetv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About