hio ndo maana yake. yuko sahihi sana huyo Mzee maana hatuelewagi kinachosomwaga..Leo kaamua kutuelewsha.. swali kwako je, hayo maneno yananguvu kama tulivyo aminishwa madrasa...
2026-09-06 12:11:10
0
Mtu Huru :
😂 Duuuh
2026-09-06 11:28:46
0
ericki mzungu :
kweli mtumwa ata ata akiambiwa niwewe atasema siomimi
2026-09-06 12:50:50
0
Jumanne Nanji :
jamani hii sio tabora kweli
2026-09-06 11:41:38
0
cruzing :
Wapi iyo? duh mtihhani kweli
2026-09-06 11:27:07
0
programmer :
kuna watu wanafanya maulidi kuonekana bidaa ila sawa hakuna shida
2026-09-06 15:16:39
0
Jumanne Nanji :
hii nayo ni dini ya kisalamu au
2026-09-06 11:40:12
0
barber :
Auyo ndo maulid yanayotetewa na mashekh zetu jmn me naona watu mpunga tu ndo wanaoutetea
2026-09-06 11:59:51
0
Sweet Didah :
ni barazanj sema yeye anasema kwa kiswahili tyuu
2026-09-06 13:44:13
0
Mahir 🏝🇹🇿 :
😂😂😂
2026-09-06 11:41:36
0
Mullah :
😂😂😂😂😂😂😂
2026-09-06 12:41:31
0
To see more videos from user @hassanjah7, please go to the Tikwm
homepage.