@nguvu_ya_madhabahu: ANAYE IGIZA SAUTI YA HAYATI MAGUFULI BAADA YA KUPOTEA KWA MUDA HATIMAYE AMEIBUKA KWA MWAMPOSA, AZUA SHANGWE KWA WAUMINI. #sibukaradiotz #ariseandshinetanzaniai #news #tanzania #viral

Nguvu ya Madhabahu
Nguvu ya Madhabahu
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 06 September 2026 10:12:05 GMT
39044
2364
77
36

Music

Download

Comments

villanchuwa2
firdaus :
baba mwamposa hana baya ni baba wa imani kubwa❣️❣️❣️
2026-09-06 11:09:03
25
leyochu
💝💦opera💥💯 :
nilikuw namfuatilia sana baba mwamposa ila now days sijui nimekutwa na nini yaan nimekuwa mziiiiiito 😳
2026-09-06 13:10:37
5
rey.lister_99
Rey💞 :
Hatimaye mungu kamrudisha kupitia saut kama ynaamin sema Amen
2026-09-06 12:59:38
5
user1612234505405
Jesus my saviour :
jamani Magufuli wetu 😭😭😭 aendelee kupumzika Kwa amani hongera wewe Kwa kuweza kuigiza sauti yake
2026-09-06 11:04:21
9
israel.julius8
✡️NYOTA YA Alufajiri :
Ibada ya leo imeponya mguu wangu baada yakuja kawe sasa nimerudi mzima ulio kuwa una niuma utukufu kwa Yesu.
2026-09-06 13:56:15
3
aikakiwango
Haika♥️ :
unatukumbusha machungu wakat tumeanza kusahau
2026-09-06 11:39:55
4
dangote846
dangote846 :
ibada ya leo ilikuwa n baraka sana
2026-09-06 13:30:55
2
martinemollel
Martine Mollel :
Daah nakumbuka mbali sana I'm feeling too much pain 😭😭😭
2026-09-06 12:08:31
3
everinmaloda
Everin Maloda :
duuuuuuu tulioangalia live tujuane
2026-09-06 13:00:23
1
9j659
jackline joseph :
ukitaka kufaidi vizuri soma comment bila kuangalia ni utafikiri ni yeye kabisa daah
2026-09-06 12:24:08
2
user4903429350759
JANETH🥰🥰 :
tunamkumbuka sana baba
2026-09-06 11:14:29
4
user4265312935694
user4265312935694 :
ko alifika akasema mm naigiza sauti naomba niongee kidogo
2026-09-06 11:57:42
0
mwana4967
Mwana❤️ :
Ayayaaa
2026-09-06 10:50:24
1
user2655814968172
asimwe katonda :
jamani
2026-09-06 11:05:45
2
witness.uisso
jumba la dhahabu :
umenifanya nimkumbuke Baba wa Taifa😂😂😂
2026-09-06 12:43:38
1
happycharles9218
Happy Charles :
jamani unatukumbusha mbali baba
2026-09-06 11:03:40
1
kyaro139
Naah :
Mungu atulindiye huyu mwamposa 🥰 nimeshuhudia mengi katika kongamano la Arusha Kisongo
2026-09-06 12:41:10
1
user87428361182934
Joanina :
Amém
2026-09-06 11:24:04
1
user23847414876253
user23847414876253 :
umejua kuniliza umenitonesha kidonda endlea kumzk baba magu
2026-09-06 11:46:02
1
lightnesomary682
Lightnes Omary :
jaman barikiwa sana 🥰🥰🥰🥰 💯
2026-09-06 10:46:22
1
user72205510227171
Maya cute 🥰 :
amina baba tunakupenda sana baba yetu mungu akutunze
2026-09-06 15:27:57
0
emmndamba0
EDWARD MNDAMBA :
Kama mchezo ni miaka mitano sasa tumebaki na historia[Innocent][Innocent][Innocent][Innocent]
2026-09-06 15:23:04
0
emmanuelpwilikiti
pwilikiti :
namsii mtumishi aachane na waigizaji wakitaka kuigiza mnje ya kanisani kanisani niseemu ya ibsbada ya mungu
2026-09-06 15:20:57
0
nguvu.yangu
nguvu yangu :
me nmetoa had machozi
2026-09-06 15:20:28
0
sophi_a686
sophi_a :
Amina
2026-09-06 12:21:48
0
To see more videos from user @nguvu_ya_madhabahu, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About