we have the best military ever, I'm proud of my country. god bless Tanzania god bless my military command.🙏🥳
2026-09-06 11:31:00
0
Muu :
Lets go!
2026-09-06 12:04:14
0
keresi :
I love you JWTZ
2026-09-06 12:10:32
0
BARAKA IBELE Paul :
Kamanda🤝
2026-09-06 12:46:56
0
KING 👑 ANATOLY👑 :
mm Niko tayari kwenda kulinda Aman sema Ty siyoo mjeshi mm ila mungu atatenda skumoja JWTZ nguvu moja
2026-09-06 10:49:16
11
DRAGON M🐉🐉 :
i wish🙏 will come ma friends
2026-09-06 11:15:08
0
Explore Tanzania 🇹🇿 :
Kwamnao hoji kuhusu ni Amani gani inayolindwa hapo? Kwauelewa kidogo UN wanamissions mbali mbali duniani ambapo Nchi wanachama hawanabudi kushiriki kulinda amani yadunia so sio kwamba hapo ni Congo tuu inalindwa.Hata sisi Tanzania pia tunakuwa salama due to Geographical proximity with those conflicting countries/parties.
Pili hapo Askari wapo muzzle down so means wameenda kweli kulinda amani yawenzetu nadunia nzima.
Maana missions zaumoja wamataita ni eithe peace enforcement or peace keeping. But usiombe iyo mission yakwanza ,yakwenda kurejesha Amani ,baada yakupotea.
So sio jambo lakubedha hao wazalendo wanachokifanya hapo,kupitiwa wao kuwepo Congo hapo hata mipaka yenu Sumbawanga uko mnakuwa salama.👍👍👍#Viva makamaradi.
2026-09-06 12:10:32
1
shaaban :
Mbna wamelegea 🧐
2026-09-06 12:26:04
2
lifetime 🌿 :
hata vitabu vinasema nyumban kwanza
2026-09-06 12:12:43
2
Dark.Soul :
hatuna vita ila Toka uhuru jeshi letu linapigana vita ... bigup sana
2026-09-06 11:32:51
2
GODFATHER :
2026-09-06 11:49:13
2
jiwe kuu ...la ukombozi :
amani gani jamani wanayolinda waasi bado wapo
2026-09-06 11:45:37
1
Mbosso bachan98 :
mungu awalinde mrudi salama nyumban yani mazingira tu yana onesha ishara ya zahatari sana ila ndio kazi aisee
2026-09-06 13:08:38
0
Mary saloon :
Ila mnashida
2026-09-06 10:23:04
1
⚽ game yamal💥 :
Sawa nakubali makamanda
2026-09-06 13:06:46
0
Jicho La Tai 🦅 :
huko LMG ni personal weapon
2026-09-06 13:36:26
0
abdallah shaban :
Congo inaardhi nzuli sana
2026-09-06 13:17:28
0
MadXity :
mbn cape zimechakaa san
2026-09-06 13:37:24
0
ELON PROFILE :
@ELON PROFILE:sasa Taifa linapata faidagani nalinatumia magari yetu?
2026-09-06 13:27:01
0
To see more videos from user @jwtz80, please go to the Tikwm
homepage.