@soulradiant0: Dar es Salaam โ€“ Leo, Septemba 6, 2026, imetimia miaka miwili tangu kifo cha ๐€๐ฅ๐ข ๐Œ๐จ๐ก๐š๐ฆ๐ž๐ ๐Š๐ข๐›๐š๏ฝ, mtaalamu wa ๐‡๐š๐ฆ๐š๐ฌ๐š wa ๐‚๐‡๐€๐ƒ๐„๐Œ๐€ ๐“๐š๐ข๐Ÿ๐š. Hata hivyo, hadi sasa majibu ya uchunguzi kuhusu tukio hilo bado hayajawekwa wazi, na ndugu, jamaa, na wanachama wa chama wanaendelea kusubiri haki. #AliKibao #CHADEMA #Tutakukumbuka #HakiKwaKibao #DemokrasiaTanzania

WincieTv
WincieTv
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 06 September 2026 10:34:48 GMT
14982
581
20
44

Music

Download

Comments

thabitpilimo871
thabitpilimo871 :
rest in peace ali kibao
2026-09-06 16:50:19
1
rashid.mdaki
Rashid Mdaki :
rest easy daddy ๐Ÿ˜ญ
2026-09-06 13:03:05
1
nyabusani.juma
Nyabusani juma :
hivi pingu ni Mali ya serikali au ni Mali ya umma
2026-09-06 14:07:31
3
user8511402816814
Fungile :
ccm hii
2026-09-06 13:33:47
1
wahida.muhsin.hus
muhsin wahida hussein :
na siku ambayo Siri zitakua wazi ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญitafika tu
2026-09-06 18:10:01
2
barakamajile
molongwe majile :
ivi Madaraka ni nini.
2026-09-06 15:01:35
1
user37966917661340
user37966917661340 :
madaraka yanakufanya utoe uhai wa binadam mwenzako dunian tunapita ndugu zangu
2026-09-06 13:33:30
2
rosemose8521
rosemose :
kweli mwanadam anakatili uhai wa mwenzie
2026-09-06 13:24:19
1
mkude.evaristi
mkude evaristi :
hapo muuwaji halijichunguza
2026-09-06 13:34:38
0
nahil.tz8
Shenko bab :
Kila nafsi hitaonja umauti na malipo hapa hapa duniani
2026-09-06 20:50:11
0
m2311830
Zahoro :
Rip ๐Ÿ™ mzee ccm
2026-09-06 21:45:55
0
abduly.salumu2
Abduly salumu :
duh watumakatirii sana
2026-09-06 13:21:52
0
tito.mbwilo
Tito Mbwilo :
aseee kwa kweli inauma sana
2026-09-06 17:18:06
1
yshaklp3
ysha klp :
wanasaau kama duniani tunapita
2026-09-06 17:03:17
1
user6013441003560
MSUVA FBM :
Mungu amlaze mahala pema peponi
2026-09-06 12:33:41
1
pascal.pondelo
pascal pondelo :
mboe leo kama unaiona kripu hii unajisikiaje .
2026-09-06 15:33:56
2
user4041251722950
user4041251722950 :
Mabasi ya Tashrifu nikiyaona Hadi napatwa kichefuchefu
2026-09-06 13:29:26
1
jumannesaidylimo
jumannesaidy :
๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ
2026-09-06 14:03:02
1
coltilda_mpemba
coltildampemba :
๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ
2026-09-06 13:44:52
1
arishnyaronga
Arish .KJ :
๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ
2026-09-06 13:30:48
0
To see more videos from user @soulradiant0, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About