mama pole sana kwa kupotelewa na mwanao.ila watz kuna jambo moja ambalo tunalikosea.ni kweli kwamba mama samia ndio amiri jeshi mkuu wa nchi yetu.lakini sio kila mtu mwenye matatizo yake tumlalamikie mama samia kwa sababu kuna mamlaka zinazo husika tusifate protocol za kimamlaka kwanza? maana binafsi hii tabia naona kama tunazidi kutengeneza chuki baina ya kiongozi na watu aliyo wateua?🤔 nayasema haya kwa sababu kipindi cha uongozi wa mjomba magu askari mmoja mkoa wa moro siku hiyo kuna sintofahamu ilitokea sasa askari huyo baada alipoona kuwa amekosea kwa hasira akatamka neno la kipumbavu sana.kwa ujasiri mkubwa anasema kuwa sasa hivi mnaringa sana na huyo magufuli wenu.manemo hayo yalinipa taswira pana sana yaani nilijifunza kitu kikubwa mno.na hata ukiwa kiongozi au bama wa familia hatupaswi kumsifia mtoto au mfanyakazi kwenye haraiki ya watu wengi ni lazma utajenga chuki.🤔
2026-09-07 05:19:15
1
Ally Omarry :
Alafu katika maongezi yako tafadhali sana usiseme samia tunakupenda kumbuka unampenda pekeako
2026-09-07 05:20:55
1
To see more videos from user @naidhihijwa, please go to the Tikwm
homepage.