@matukioonline_tv: Mkasa wa Baharia maarufu Kwa Jina la 0 Five Au Philipo Akisimulia mikasa na vituko ambavyo Watanzania wengi wanakutana navyo Afrika kusini baada ya kuingia kwa njia haramu na kuzamia ameelezea kwanini Wazulu wanawachukia na kwanini walikuwa wakiishi sehemu za fukwe pembezoni mwa Makaburi. @Philipo Haule #creatorsearchinsights

Matukionline Tv
Matukionline Tv
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 06 September 2026 11:02:16 GMT
42478
1877
120
101

Music

Download

Comments

mnazareti.galilaya
mnazareti galilaya :
Safi sana mje mtuuulie uyu bibi aisee
2026-09-06 13:47:14
18
petromindset
Billionaire Mindset :
duu sasa Hawa wangekuwepo October 2025 siingekuwa hatari
2026-09-06 12:51:16
19
alvespauline5
CHARLES KACHWELE :
kwani maandamano lini😂😂
2026-09-06 12:25:44
37
ollylover7
K C M :
Dar ya moto saiv😂😂😂😂
2026-09-06 14:14:22
6
mfilinge56
helleren ❤️ :
Jehova Mungu uliye juu nilindie familia yangu 😢😢😢
2026-09-06 13:55:55
8
user2699752381465
Aeim L :
kumbe mnaumoja watanzania Nyerere alifanya kazi 😂
2026-09-06 14:18:47
17
pewicoltd
Peter Elias :
nchi ijiandae kwa matukio asee
2026-09-06 13:41:05
14
itsmeshyner
Shyner :
keeeeeh.... balaaaa lipo safari hii
2026-09-06 18:45:07
2
ayman.bigi
Ayman Bigi :
Mama kurudisha hawa watu ni kosa kubwa…. Wanaweza kutumiwa vibaya na wanasiasa
2026-09-06 13:56:49
3
mr.dezooo
Mr dezooo :
mo29,nilini tena naitamani jamaniiiiiii
2026-09-06 14:09:35
3
mbonimadaramba
Mboni :
Ndg yangu scopion Brown cjui kama yupo hai Toka mwaka 1993 alienda south ad leo cjui kama yupo hai
2026-09-06 20:04:06
0
chimamy.wady
❣️🇴🇲 Semaji la gulf ❣️🇦🇪🤪 :
😳 Enheeeee ndugu zetu tz mkae kwa tahazari uuuuuwih 🥲
2026-09-06 12:59:18
4
zulphamasika
Zulpha Masika :
wasela ndo wame ingi sasa Awa wengine wakawaida sana aise🙌❤️‍🔥❤️‍🔥
2026-09-06 13:48:10
6
matagulwa
Matagulwa :
Du!! Hii hatari
2026-09-06 13:46:56
3
emanuelemanuelado
Emmanuel🌾jonn🌻🌽🇹🇿🔋 :
da tz imeshakutwa
2026-09-06 13:26:55
3
m.h.k972
VEGAS 💖☂️ :
Ok tumewaelewa mtusamehe 😳
2026-09-06 13:23:14
3
user37129752173615
halimaa :
tobaah
2026-09-06 13:50:29
3
kasamila303
@kasamila :
sasa kwann hamkuja mwaka Jana kwenye maandamano mmekuja saiv
2026-09-06 13:34:45
7
shaxpier12
shaxpier :
hawa jamaa mtakuja kuniambia
2026-09-06 12:20:55
4
nsjj843
nsjj843 :
mhmm tz jaman mjipange duh 🙄
2026-09-06 13:43:54
3
brazilerop
Brazilero :
hicho ndio mlichofuata South sio
2026-09-06 13:58:31
3
mwana1768
mwana :
jaman mbona mambo
2026-09-06 13:00:05
2
jjj11618
Jjj :
duh
2026-09-06 12:34:17
2
elly_official
Elly :
ni kweli wa tz tunaogopwa sana kusini mwa africa
2026-09-06 16:29:28
1
To see more videos from user @matukioonline_tv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About