@swiiftiphonecenter: 🔥 WiFi yako imeunganishwa lakini speed bado ni ya kutia huruma? 😭 Jaribu kubadilisha DNS Server ya WiFi yako kwenda: 📌 8.8.8.8 📌 8.8.4.4 Hizi ni Google Public DNS ambazo zinaweza kusaidia kuboresha namna kifaa chako kinavyopata na kufikia websites. ⚡📶 ⚠️ Kumbuka: DNS siyo uchawi wa kuongeza Mbps zako moja kwa moja—lakini inaweza kusaidia kufanya baadhi ya connections ziwe faster na reliable zaidi. Jaribu kisha niambie umeona tofauti gani! 👇 #WiFiTips #TechTips #GoogleDNS #InternetTips #SwiiftiPhoneCenter