ungevaaa na kaushungi ingekuwa 10/10 Da Asmah♥️love you 😘
2026-09-06 12:59:35
172
Dee Smile 😃 :
da asma umeongea vzr saan mung akuz kipaj chako
2026-09-06 12:17:21
107
Rehmy ⭐✨❤️💔😂 :
unanipa nguv ya kupamabna
2026-09-06 13:10:28
31
Taryser💕 :
Maneno mazuri ya busara 👏👏
2026-09-06 14:41:43
22
💮BEAR💮 :
10/10 chap chap
2026-09-06 13:31:12
9
Ainshuuna glam :
mashallah hakika kunakitu nimejifunza
2026-09-06 12:18:41
38
Beatrice Mushi :
Fact dear
2026-09-06 17:06:21
0
Ketty💗 :
ila huyu dada ana akili sana, Yani ana maneno ya busara sana Mashallah❤️🥰😍😘💕💕👌🥹
2026-09-06 15:39:46
7
ndangere09 :
Nakupenda asmah,mungu akulipe in Sha Allah Leo kunasehemu umeniweka❤️🙏
2026-09-06 12:38:54
17
KOKUSIMA♥️ :
Wanaotegemeaga Asma aonyeshe zawadi anazomnulia Mama chanja nadhan leo mmepata cha kujifunza. Kuna utajiri mkubwa kupata mtu anayeweza kuongea na ww hivi... Nmefarijika sana na maneno yako 🔥Hearts of you Asmah Majid🥰
2026-09-06 13:27:49
38
🫦pop dr 45🤟 :
nakupenda nataman nikuone dad umeongea ukwer kabis😳😳nakupend san🥰
2026-09-06 12:14:25
7
Rafia love :
very true sister
2026-09-06 15:26:26
3
revidia :
dah asma mungu akubaliki maana unaonekana mdogo lakini una akili sana ,matured 🙏🙏
2026-09-06 13:24:43
6
it's roy :
well said
2026-09-06 17:27:22
0
ester :
hellow
2026-09-06 17:52:10
0
Dayana 💋🥰 :
Amen🥹🥹
2026-09-06 17:24:28
0
husbaby 😜 :
my favorite
2026-09-06 12:11:20
2
baby bree 🦋🥰 :
oyaaa Asma nakosa cha kuongea ila mwenyezi MUNGU alibariki tumbo liliokuzaaa na akubariki na upate kila unachokihitaji hvy tu ila jua kwa leo umekomboa nafsi nyingi sana kwa hayo maneno yako machache MUNGU akuzidishie hekima 🥰🙏
2026-09-06 14:54:46
7
Asma*khan :
daah kipenz nilikua na kitu rohon ambacho nlisema hyo alonitenda ntafanyia kitu hatokaa anisahau kamwe lakin kupitia hii speech yako imenifanya nirud nyuma na kusema hpana hyu anayetak kufany iki cyo mm cjazaliwa kushindana nmezaliwa kwa kufanya mema na yale yatakayoniumiza nmuachie Allah(s.w)wajna nakupenda kwa ajili ya Allah🥰🥰
2026-09-06 13:29:26
6
MaMa NoNa house of fashion🤗🧥 :
mapema leo da asmah🤗🤗🤗
2026-09-06 12:13:10
6
sukari ya wote :
1000/1000
2026-09-06 16:25:31
2
🇩🇪YohbneshJochmann🇩🇪 :
10/10 dadangu❤️🙏
2026-09-06 13:48:44
1
Pink verny 🎀 :
Siku zote asma anaongea point nakupend ❤️🫂
2026-09-06 16:53:17
4
Bravegirl :
Nakup3nda dada angu mzuri umenipa akili kubwa kuanzia sasa
2026-09-06 15:14:57
4
To see more videos from user @asmah_jamida, please go to the Tikwm
homepage.