@kanikibrown: Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, ambaye pia ni Mbunge wa Arusha Mjini, Mhe. Paul Makonda, amechangia Shilingi milioni 10 katika harambee ya ujenzi wa Kanisa Kuu la Arusha, akisema mchango huo ni sehemu ya kumuunga mkono Waziri Mkuu pamoja na waumini katika kufanikisha ujenzi huo. Makonda amesema akiwa mwakilishi wa wananchi wa Arusha, anaona umuhimu wa kuunga mkono jitihada za maendeleo ya jamii na taasisi za dini, huku akimuomba Baba Askofu kuendelea kumuombea katika utekelezaji wa majukumu yake ya kulitumikia Taifa. Amesema anaamini kupitia ushirikiano wa viongozi, waumini na wananchi, ndoto ya kukamilisha ujenzi wa Kanisa Kuu la Arusha itatimia. 🔴Ukiwa na HABARI MPIGIE RIPOTA 0622732287 RIPOTA WA HABARI ZA MIKOANI ✍ @kaniki_brown #Ripotawahabarizamikoani #kanikibrown #WeweNiFamilia
Kaniki Brown
Region: TZ
Sunday 06 September 2026 12:27:01 GMT
Music
Download
Comments
jacobmwalituke3 :
mwamba namkubali sana
2026-09-06 13:09:33
0
Hasheem Beimoja :
angeweka greda mafuta akwaruze izi barabara maana sio poa
2026-09-06 15:08:39
0
jutonyluvanda :
kanisa gani hilo
2026-09-06 13:39:33
1
Cleophace1stborn :
tunaomba harambee za ujenzi wa vituo vya afya
2026-09-06 12:50:16
0
Sophia kohe mwilo Kohe :
ubarikiwe naomba namimi spika za kanisa
2026-09-06 13:24:21
0
mwakalinga :
makanisa nao wameiuwa kuwa biashara hiyo pesa ya damu ya October 29
2026-09-06 12:56:52
0
user24024190945116 :
✅✅✅✅
2026-09-06 14:45:05
0
To see more videos from user @kanikibrown, please go to the Tikwm
homepage.