@bakarially30: Watu wamepoteza imani #congolaise🇨🇩 #tanzaniantiktok🇹🇿 #burunditiktok🇧🇮 #rwandatiktok🇷🇼

Bakarially30
Bakarially30
Open In TikTok:
Region: DE
Sunday 06 September 2026 12:57:26 GMT
8842
311
18
77

Music

Download

Comments

mkmmkk259
Mkm Mkk maria :
kweli kabisa dadangu alinitenda kma hivyo
2026-09-06 16:28:23
1
shebe967
shebe :
Asante kwa ushauri wako mzuri kaka👍
2026-09-06 15:26:06
0
hussein.kumbakumb
hussein kumbakumba :
hiyo kweli umeongea point
2026-09-06 13:12:48
2
abdulsattar6374
Abdul Sattar :
Ndo yale yale ya wahenga ya kwamba pesa haina ndugu yaani mtihani huu
2026-09-06 17:39:45
0
asia.selemani02
Asia Selemani :
mi kwakweri tusameheane siwezi fanya ivo kabisa ntaendesha maisha yangu kigumu ivo ivo inauma sana hela ya warabu tunsipata kwa shida sana wallah 😭😭😭😭
2026-09-06 16:55:22
0
user7368771308598
m :
Kweli kabisa💯
2026-09-06 17:18:28
0
zuberimassoko
zuberi850 :
Kuna kauli Mimi nasemaga naonekana kama Nina roho mbaya lakini Bora niwe na roho mbaya
2026-09-06 15:48:37
0
somoe.amani
Somoe Amani :
Ndugu yako ndiyo wakwaza kukufanyia ubaya na kukuliza na kukutoa machozi ndug wanaoturudisha nyuma
2026-09-06 15:45:01
1
faaleyimleyim
FAY :
mmh! unashangaa ndugu! mmoja karudi kutoka south Africa kakuta mama yake mzazi kamsaliti pesa aliyokua akimtumia. pesa ni saytwani.
2026-09-06 13:22:20
0
user02157186
12345 :
Kweli kabisaa
2026-09-06 16:32:41
0
wadudi33
wadudi :
serikali ivhukue hatua katk hili linasababisha kuuwana
2026-09-06 13:55:22
0
omarrasta09
Big 3 :
kweli kabisa hio nichangamoto kubwa ya waafrica
2026-09-06 14:02:46
0
magori656
magori :
Asalamu Aleykum Warahama Tulahi Wabarakatu tupe habari za vita Iran na America
2026-09-06 14:51:59
0
abusalamamadogo
Abusalama Madogo :
ndotulivyo fanywa na selikali zetu unyingeuona umasikini
2026-09-06 13:40:47
1
mudd180
eddycoll :
hicho unachoongea ni sahihi kabisa mimi kishanikuta kwa ndugu
2026-09-06 13:57:22
1
youssoufmaslaha52
Youssouf Maslaha :
masikini
2026-09-06 13:15:10
0
user359769601074
ENG Juma :
Ndugu wa Afrika wengi wanafiki
2026-09-06 16:22:43
0
To see more videos from user @bakarially30, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About