Sasa kwan apo kosa lao nini jmn ASANTE KWA KIZUNGU nawakubali sana wadogo zangu 😁
2026-09-07 05:29:44
75
susyk 001 :
awa ni wakenya najua
2026-09-09 10:08:37
7
Yáɲďüŋā45 :
Shida yenu mtu akicomment mnaview profile...
2026-09-09 11:19:04
7
user7322026105605 :
watoto wao wako sahihi
2026-09-07 05:23:44
12
muu cutt🌹🦋 :
natamanii mtuu alike comments yanguu ilii nludii tenaa manaa nipo kwenyee kikaoo cha mjombaa anguu mkewakee kajifunguaa mapachaa anasemaa mtoto mmojaa so wakee jmni nashindwaa kualewa
2026-09-08 20:06:13
15
Minah🥰 :
Asante kwa kizungu
2026-09-08 16:42:39
7
bin ramadhan :
watoto wapo sahihi
2026-09-09 10:45:25
5
TUMA :
nimecheka nakuumwa. kwangu
2026-09-06 18:31:15
18
SAK lips💋 :
😂😂😂 mnanikumbusha kwenye harusi ya mjomba angu alikuwa akiambiwa na shekhe sema nimemuoa nae anajibu sema nimemuoa😂😂
2026-09-08 18:27:00
9
@sure boy :
wapo sawa ungewambia wasema thank you tu wasingekosea😂
2026-09-07 01:15:31
5
hbmoo :
unajua nacheka kwanin
2026-09-06 19:34:19
5
Bush Doctor :
hawana makosa hao watoto. si amewaambia waseme asante kwa kizungu, nao wakasema vilevile.
angeliwauliza jee tukitaka kusema asante kwa kiingereza tunasema je? wala si kizungu maana uzunguni kuna lugha kadhaa
2026-09-06 19:02:25
5
𝐷𝑒𝑒_🦁 :
mmoja Kasema thank you Kwa kizungu😂😂😂
2026-09-07 09:33:02
6
swalhita_ :
Asante kwa kizungu 🤣🤣🤣
2026-09-06 19:08:30
6
butterfly❤❤❤ :
It's giving, repeat after me' vibes🤣🤣🤣🤣
2026-09-07 11:10:20
9
Faruk :
The way they said it louder for the second time🤣🤣🤣🤣
2026-09-07 08:16:35
5
NOTIFICATION :
Asante kwa kizungu
2026-09-07 10:15:18
3
To see more videos from user @duliking2, please go to the Tikwm
homepage.