millennial ndio tutaelewa hii song
Back when bongo was bongo na zile true love za hizo time
2026-09-11 19:01:13
7
janjaroo :
wapi..berry white..
2026-09-09 09:04:15
1
fdxdyú gf dt tho if dt dt hi h :
kiba wa moto saaana
2026-09-09 05:27:07
2
Salah :
Bongo was bongo, sikuhizi kelele tupu
2026-09-10 10:48:24
1
Ameir Ali :
nipe bizzman ametoroshwa
2026-09-10 21:23:34
1
𝑴𝒔𝒂𝒇𝒊 𝒌𝒆𝒏𝒚𝒂𝒏_𝒃𝒐𝒚 :
BINGO FLAVOUR😂😂😂😂
2026-09-10 14:53:10
1
Chacha Marwa12 :
2010 iyo ilikuwa tamu sana
2026-09-09 10:43:09
1
Adiso :
old bongo❤️🔥❤️🔥🔥
2026-09-09 22:13:38
1
LUCAS :
2008
2026-09-10 22:10:07
1
doncorleon001 :
nice reminder 💯 2008
2026-09-12 05:40:40
0
💎sophy🌹shommy💦 :
noma sanaaa 🥰🥰
2026-09-09 12:25:40
2
🇰🇪 ابــــــن صــــــالح 🇸🇦 :
😂😂 Hii nyimbo ukijua, basi ujue wewe si mtoto wa jana! 2007/2008 huko 🔥 Warembo mitaani, Watoto wa Kali, ujana umesimama vizuri 😂❤️Hakuna stress, hakuna pressure… mapenzi, starehe na maisha matamu tu. 😭😂 Hii nyimbo imenipeleka mbali sana jamani. Wale tulioishi enzi hizi tunajua tulikula maisha! 😂🔥❤️Dah, ujana ulikuwa na ladha yake bana! 🥹
2026-09-11 12:15:00
3
mam jr :
2026-09-07 14:03:18
0
Juma mazinde :
Achakabisaaaaaa daaaaaah sawa asante sana mpenz wangu
2026-09-11 18:25:56
1
Chris Tsumah :
Mapenzi ya sikuizi
2026-09-11 19:01:17
1
Haji issa 🏋️mkombe :
tbt watoto 2000 watuache
2026-09-09 07:21:56
1
Jackson k jack's :
noma sana
2026-09-15 10:44:20
0
saadamosh :
🥰🥰🥰 oyoooooo noma sana
2026-09-12 10:42:56
0
Prince-b Tsongo :
nili kuwa bado mtoto sana merci King kiba
2026-09-10 19:02:58
0
kaiga :
kiba uta tu uwa na sound hit kama iyo
2026-09-10 08:23:04
0
Hajra :
nilikuwa na boyfriend alitwa Ali kipindi hicho,kila akinuna aliniimbia wimbo huu,duuuh.....
"Allah amjalie jannah 🕊"
2026-09-20 19:02:42
0
Kababayee Babayao :
Kiiing 🔥🔥
2026-09-10 19:35:16
0
Jay,jay :
zaman zangu izo
2026-09-12 14:28:44
0
doncorleon001 :
2026-09-12 05:39:09
0
mbughi :
nikar
2026-09-09 13:22:24
0
To see more videos from user @best.friend.com4, please go to the Tikwm
homepage.