@djaus_djwakusini: WALE MLIOCHEZA JANA MJIFUNZE LEO KWA SIMBA😀😀

Rdj_aus
Rdj_aus
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 06 September 2026 13:15:43 GMT
31901
1933
102
69

Music

Download

Comments

tinnahmlay
Tinnah Mlay :
kwa lipi Sasa maan goli la ugenini pia tunalo
2026-09-06 15:11:41
6
zachariah2420
Zachariah :
kwn walichez na mighty wanderers¿?¿?????
2026-09-06 15:55:42
0
chaz.first.born
Chaz first born :
subirini dk 90
2026-09-06 13:57:11
3
abdallajaje4
abdalla jaje1 :
nn cha kujifuza kwenu wakti ni underdog wa all time tu kwa yanga hamna jipya
2026-09-06 14:06:29
13
togolaamr.wyne
Babu mkuna nazi🥥🥥🥥🇹🇿🇹🇿 :
kukosa magori ya wazi mtu anapiga km anatoa assist
2026-09-06 14:13:17
3
ney57178
NEY :
tujifunze nin hapo sasa wakat mnacheza na under 20
2026-09-06 14:44:33
2
mo.emanuel
official ras :
😂😂 yan mna pelekew moto mda wotee
2026-09-06 14:20:53
1
fyongotz
fyongotz :
hamna kitu !!Ww uliishawahi kusikia wapi kipa anatoa assist?!!
2026-09-06 15:00:51
0
user68724628814615
user68724628814615 :
kwa ilo goli au maan Sion jipyà
2026-09-06 14:38:56
0
itc.mau
flower✨️❤️ :
machungu watayapata san nd tumeanzaa❤️
2026-09-06 15:14:15
1
tiluu.tz
Tiluu Tz :
Sasa tujifunze nn ngoja tusubir a few moment letar
2026-09-06 13:33:01
0
sifael618
prettygirl :
simba sina cha kujifunza kwanza mpira wao siwez angalia ni kama napoteza time yang😂💚Yanga bingwa
2026-09-06 18:05:10
0
ms_maisy95
Marry lauo 95 :
ndio ivo kikubwa point 3 tumepwta kitu lohoo inapenda
2026-09-06 17:14:43
0
pendrytz2
mispendo :
Tatizo lenu ndo ilooo tuuuu 😂😂😂
2026-09-06 16:27:30
0
pendombughi6
pendombughi6 :
sijaerewa hapo tujifunze nini sasa
2026-09-06 16:33:43
0
neema.denis10
Neema Denis :
kupiga nanii au🤣🤣
2026-09-06 16:28:51
0
wilejuli
peace boy :
mpira wa simba tukicheza hivi hvi clab bingwa hatutoboi yan timu mbovu inafunguka tunashndwa kumaliza game mapema, kocha nae Christmas sdhani kama atakuwa simba bado
2026-09-06 16:50:45
0
tinnahmlay
Tinnah Mlay :
goli lenyewe off side
2026-09-06 15:12:05
0
157hansirah
157hansirah :
sa nyie mngepewa timu ya jana mngetoboa sa timu hyo ya kawaida na mmefunga moja tungepewa sis hyo muone ndo muongee
2026-09-06 16:53:55
0
official.bland2
Official bland :
Mngefunga mawili sawa kumbe ni moja na sisi pia tulifunga moja msijisahaulishe shida siyo sale 😂😂😂
2026-09-06 15:51:25
0
eve.evelyn33
eve evelyn :
nje mnatesa ila ndani
2026-09-06 18:59:39
0
agness5572563673261
agnnes5572563673261 :
kwalipi kwa mpira gan
2026-09-06 17:05:31
0
user59518288753137
miss ney😘😜💞 :
simba daima
2026-09-06 15:57:18
0
mery66716
mery667 :
lakn bad tumefunga
2026-09-06 17:14:08
0
maulidimaulidi928
littlekidoh :
sas wajan na wa leo wapi walikuwa wagumu jaman kama sio wajana mana wa leo wanaonyesha kabisa kuacha space wale wa jana no space no run
2026-09-06 16:42:11
0
To see more videos from user @djaus_djwakusini, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About