I like this. But being Christological doesn't make it not eschatological, Sir.
Nisaidie kitu, sitaki kubishana. Nataka tujengane. Is this the right platform?
2026-09-07 07:24:49
5
Alsoka :
Elimu bila kiroho ni ufalisayo, na kiroho bila Elimu ni uzushi. tutafute kumjua Mungu sana kuliko kujivunia Dini au elimu zetu
2026-09-18 06:05:29
1
Apostle :Peter Clement Anthony :
Baba umekua ukinijenga sana... mimi ni Askari nipo Mbeya... naomba namba yako Baba...
2026-09-07 10:26:07
3
abernego. p.chisululu :
tunamhitaji roho siyo shule ok
2026-09-07 06:29:06
1
MAN of GOD :
😅😅😅TAG na EAGT BWana daaa Wana leta sana vurugu hasa TAG wale jamaa hawana tofauti ta watu wa mataifa. 😅😅
2026-09-06 22:15:04
3
Pickles- :
Upentekoste chimbo lake linaelezwa kutokea Azusa, Marekani na sio kwa “Waswidishi”
2026-09-07 19:21:45
0
Gulbar🇨🇩 :
Christology does not exclude echastology
2026-09-07 23:19:54
0
daniel🇹🇿 :
njoo tufanye debate
2026-09-07 07:28:59
2
Marcus Alleid :
Hakuna kitu kikuuu kama ukiwa katika imani yenye uhuru mkuu wa dhamiri juu ya kristo Yesu,si chini ya uongozi wa makanisa na dini,ukiwa nje ya dini na makanisa unakuwa mtu huru kwelikweli,kama Yesu alivyosema nanyi mtajua kweli nayo itawaweka huru kwelikweli sory to say this "in church there is no full truth,there is limited one kuwatawala walio wa imani ya kikristo"
2026-09-10 08:13:11
2
EllyBM :
Sasa si ushamsema?😀
2026-09-07 08:35:42
0
user1707672202252 :
kumbe kusoma sana unaweza kupotoka tunahitaji hekima ya mungu
2026-09-07 04:02:19
0
Lucas Joseph :
shule sio kitu mbele za Mungu
2026-09-07 18:33:30
0
prosper :
shule ikipanda sanaaaaaaa iko taabu sana.
2026-09-07 06:10:30
0
ADULLAM GLOBAL MINISTRY :
Sir hii sio injiri, hubiri watu waijue kweli waende mbinguni
2026-09-08 11:29:23
0
FEILY :
Biblia yote kuanzia kitabu cha Mwanzo mpaka Ufunuo, ni maandiko kihusu Yesu
2026-09-07 06:53:43
0
Jozze Basusute :
upo sahii kabisa
2026-09-06 18:47:23
2
Regina :
Mungu tukumbuke tusaidie tupe macho ya rohoni ili tupate kuona sawasawa
2026-09-07 05:24:46
0
Mzewangu :
Kwa wanazuoni huyu yupo sahihi mno...
2026-09-06 13:55:42
4
Joseph Mnyamale :
mkianza kuweka shure kwenye mambo ya rohoni hapo lazima tupishane
2026-09-07 06:10:58
1
Katoto ka Yesu :
baba ❤️utamwazima Yesu matusi🤣🤣🤣
2026-09-06 13:48:26
1
Nancy✝️ :
ndo watumishi amboo nawapenda mimi
2026-09-08 21:18:23
1
TRAVELLER 🇹🇿 🧳🌍 :
natamani sana haya mafundisho yawe full time kwa YouTube maana nmejifunza vitu vingi vikubwa kwako
2026-09-07 20:37:47
1
zakaria Elly :
hubiri injili watu waokolewe na waliokoka fundisha neno waimarike
hizi mambo hazitasaidia kitu
2026-09-18 07:08:42
0
Ben YAHWEH :
Asante kwa utafiti wako, SIKU zote utafiti unapigwa kwa utafiti. hongera sana mtumishi wa Mungu
2026-09-18 09:02:44
0
MR UNSTOPPABLE FX :
who is this guy ?
2026-09-06 17:38:26
0
To see more videos from user @sensicalchurch, please go to the Tikwm
homepage.