@joe_smile0: Enhee Enhee😂🙌#creatorsearchinsights @bongoflavaa

🧿JOE🧿
🧿JOE🧿
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 06 September 2026 13:25:23 GMT
21195
987
83
56

Music

Download

Comments

msfrozen28
💋𝐁𝐔𝐓𝐓𝐄𝐑𝐅𝐋𝐘🦋🥵💦 :
Nikikumbuka nilinunua nazi ya azam zilivotoka tu nikanywa kdg nikaona mbaya nikatupa nachokaa😂
2026-09-06 16:00:53
9
witty30sijui
new women :
sio mm mm nilikua naiba elfu 10 na inaisha sikuiyoiyo
2026-09-06 18:29:42
6
user45903663139372
h___p :
mi nilikuwa nagawa
2026-09-06 17:43:42
3
neema.urio93
Miss Ney 🦋🦋 :
ila joe🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌
2026-09-06 19:45:32
1
user7680614785730
naah💍💎 :
na saiv tupa 😂
2026-09-06 15:06:21
1
user58496869120152
kundybetty :
hahahaaaaa hiyo ilinikuta alooo weeeee 🤣😂
2026-09-07 04:35:51
1
fredy.mlonganile7
Fredy Mlo :
kumbe zile nilikuwa naokota mlikuwa mnatupa nyie aki ila watu mko na pesa mingi..😂😂
2026-09-07 07:48:26
3
247385beyou
Be you 💪🗣️ :
imagine rafiki ysngu aliiba ef 2 kufika dukan mwenye duka akaizuia ile hela tuendee wazaz 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 waje waseme kamq ni kwer wametupa wauzaj wa zaman walikua jauu saaana na tulipigika na wazaz iyo siku siji sahau😅😅😅
2026-09-07 04:22:35
2
rehemabenjamin1
rehemabenjamin1 :
Nishawahi fanya hivy tena ilikuwa buku tu 😂😂
2026-09-06 18:19:29
1
user5715902636381
t@bby🦋🦋🦋 :
🤣🤣🤣🤣aki nmekumbuka mbali sanaa🤣🤣🤣🤣
2026-09-06 14:43:21
2
i.a.mlizzie
lilibert_cosmetics :
🤣🤣nmecheka sana
2026-09-06 16:36:47
1
love448606
missi 🥰🥰lili :
😂😂😂mimi uyo
2026-09-06 18:05:13
1
wahdary8
wah'dary🤏🦋 :
😂😂Bora nipotezee ushahidi
2026-09-06 16:23:08
1
dicksonstephano58
Corin Morgan 🔥 :
Mm nilikua na nunulia karam darasa zima , mda wa lunch time sis tunaenda kula kwa hotel wali nyama aisee ni🔥💰
2026-09-06 18:17:49
2
therealminah4
The real minah :
huyu ni mm kabisaaa😂
2026-09-06 15:33:15
2
annyvictory58
Anny&🌹🌹 :
Umenikumbusha zaman sana niliwahi iba hela tena mia tu nikanunua chem cola 😂😂alf sasa kweny harakat za kuinywa si ikanichafua na haitoki aiisee nilirud nyumbn nilipigwa kama mtoto wa kambo🙌🏻🙌🏻
2026-09-06 23:24:40
1
ceama2020
I❤️🫂God 🥰 I ❤️@ceama2020 :
Acha bac niliibaga bhana nikanunulia darasa zima barafu na mwalimu wao na ikabaki nikala chakula cha mchana ikabaki jioni wakati tunarudi nyumbani nikaiificha chenchi ety kesho yake nikawadanganya wadogo zangu nimekuota hela wakaenda kumwambia mama aweee nilipingwa mpaka nikasema ukweli wote akhiii mama wewe hapana jmn mama anapiga Yule mpaka Baba anshangaa venye daughter wake natendewa
2026-09-07 03:59:49
2
witty30sijui
new women :
weee nilikua mtoto Tena darasa la tatu
2026-09-07 06:56:32
1
issramcakesandbites
issram🧁bites🍰 and cakes :
hahahahahahhahahahhaahha
2026-09-06 15:55:55
1
lily.da.wise
Lily da wise :
😂😂😂😂😂 nilikiwa nnachukua elf5 naenda kula mahind ya kuchemsha 😂😂😂😂 hta mia5 haiishi🤣🤣 kumbe nilikuwa falla
2026-09-06 18:22:38
1
user26195471217533
mwendwa :
hahahahahahahaha umenikumbusha mbali sana
2026-09-06 16:30:32
1
ij92329
Gud chance🇹🇿❤️ :
Hahahahahaaa uw sitokaa nikasahau ile sik na niliwek ahad kuw sitaiba Tena namshukur Mungu alinisaidia ktk hil manak ile sik ningepew kipig takatif 😂😂😂
2026-09-06 18:06:21
1
mziwanda994
Thabit :
Nmecheka mpk nmekufa
2026-09-07 12:33:30
1
j_gentlee
GENTLE :
ndo maana zaman Kipindi tupo watoto tulikua tunaokota sana ela
2026-09-07 21:08:57
1
amesoul00
Belle Âme 🇹🇿🇫🇷❤️ :
😂😂😂😂😂😂😂😂
2026-09-06 14:53:53
1
To see more videos from user @joe_smile0, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About