@youzle_maker: Ukiswali swalah ya alfajir moyo wako unakuwa na amani #islamic_video_الله_حسبنا😢☝️🤲❤️💕🕋 #fyp #viral #muslimtiktok #tiktokeastafrica🇺🇬🇷🇼🇧🇮🇰🇪🇹🇿

🕋🅓🅐🅦🅐🅗🕋
🕋🅓🅐🅦🅐🅗🕋
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 06 September 2026 13:40:14 GMT
42813
8067
266
417

Music

Download

Comments

zurrywassou2
zurry wassou💋..🇹🇿💞🇦🇪 🍒 :
Leo chauongo kaongea point... Mashallah
2026-09-07 00:25:42
0
united_zone3
UnitedZone :
Wallah this is real
2026-09-06 22:59:58
0
mariabadan5
Mariam adam :
jaribu kuswali tahajud alafu upige Na Fajr ... Amani Na utulivu Wa Moyo 100%
2026-09-06 19:13:42
82
songa.koscielny
Songa Koscielny :
100%true
2026-09-06 17:39:08
0
nashruky
Rukia Okash :
TAQBIRR🙏🙏
2026-09-06 21:12:11
0
user4365309024031mapesa
Daa mapesa🥰🥰 :
Wow Mashallah ❤️❤️❤️
2026-09-06 20:32:52
0
mamuhssn
@Mamu🍂Hssn :
Vibe After swalah😁🥰❤️
2026-09-06 20:35:09
2
dr.othman_viungo
Dr Othman | Afya ya Viungo :
ata ufanisi wa kufanya shughuli zako unakua mkubwa
2026-09-06 16:40:09
27
work.hard4360
Work Hard :
miongon mwa content bora nilizozion leo ni hiii
2026-09-06 16:05:56
86
rayshkeykeyraa
rayshkeykeyraa :
weee Jamaa Swala ya Isha bhan moyo unakuw na Aman xna
2026-09-06 18:52:56
14
dalfah88
♥️مزذلفة🦋 :
ni kiswali inshaaa... najiona km sina madenii 😁😁.,allah niongozee niwe miongonii mwawanaoishika man swala na wasio swali lainisha mioyo yao washikamane na swala
2026-09-06 20:15:35
13
zee18320
Zee :
Na ukisha zoea kuswali basi usipo swali unakosa amani na unajawa uoga
2026-09-06 16:39:15
9
hunaynayan
Ayaan :
mashallan ni kweli
2026-09-06 15:55:37
14
nurdn22
Nurdn .zzT F.🖱️ :
Hakika kak
2026-09-06 14:37:07
17
user6065987835451
Nzori khan :
kweli kk mungu akujaze kheri
2026-09-06 14:32:22
15
user4854699029350
kijazy umeme :
ni kweli Yani Kuna mda una sema hata nikifa saa hii sina deni
2026-09-06 18:36:10
9
neema.saidi15
NEEMA CAKE :
mungu atujaliye mwisho mwema ukiswali amani inatawala
2026-09-06 18:46:51
10
sh..b..n6
Ukhut Love :
Kweli kabisa Kwanza Unashinda Na Amani
2026-09-06 19:07:46
6
zuu1061
zuu Janja :
kabisaaa,,na ukipitwa hata na kipindi unahis kunakitu unadaiwaa yn nafs haituliii
2026-09-06 18:58:32
5
jumaabdul4465
jumaa :
Me swala yoyote sheikh wang huwa nikisha swal napat Aman yamoyo sanaa
2026-09-06 19:27:01
5
w.khalid477
. :
huyu mwamba leo ameongea point✅
2026-09-06 14:56:49
13
user7137994487993
bibah :
Uvuki kwenye zebra kwa sababu una uhakika🕊️😂😂
2026-09-06 16:13:01
7
smailegirl001tz6
Smile girl&..16 🫶🌹 :
Mimi niliacha nimekua na hasira za karibu najina mchovu ila nikiswali najikuta nakua mpole napendeza nakua mweupe Yani najiona mwepesi wallah Allah atujaalie wenye kutekeleza swala 🥰🥰🥰🥰
2026-09-06 18:28:17
11
aminakhamisi940
MRS SAHIL❤️‍🩹🇹🇿🇴🇲💍🔏 :
Shuhuda mm apa alhamdulillah ata uso umekuwa na nuru alhamdulillah
2026-09-06 18:06:46
5
ibbu.tz
IbbuTZ :
Hii kweli. Unajikuta mwepesi sana 😂😂
2026-09-06 19:12:26
4
To see more videos from user @youzle_maker, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About