@iycsigntv: Mwana muziki legendary #afandesele awatumia ujumbe viongozi wa serekali kuhusu wana nchi wanavyo taka katiba mpya Muusika: afandesele 📺 iycsigntv ✍️ iycsigntv Welcome to the iycsigntv youtube iycsigntv promotions dm and more

iycsigntv
iycsigntv
Open In TikTok:
Region: US
Sunday 06 September 2026 14:05:10 GMT
23340
1341
53
14

Music

Download

Comments

user6746593612424
msondck jr :
kwheshima mkuu tu p1
2026-09-06 17:11:52
3
maumau.march.mwan
Maumau march Mwana wa adamu :
katiba siyo mali ya wana siasa wala rais katiba ni ya wana inch wote
2026-09-06 14:53:30
6
rodricchthedon
DRCKPLANMASTAR🙏✊ :
lkn pia kuna umhimu kuelewesha bahazi ya wananch awajui nn maana ya katiba
2026-09-06 19:08:43
0
young.zacha
young zacha :
ni kweli tukijisahau tutajisahau we need a new constitution tuko pamoja
2026-09-06 18:51:36
1
khalifachuma
Khalifa Chuma :
n vle t' wengne wanashndw kuelew watu wanaongeaj ukwel wa hki na vtu vya msingi ktk Taifa hil 👑🇹🇿
2026-09-06 16:12:21
2
kasmirijohn336
Kasmiri John :
tunataka katiba
2026-09-06 16:11:43
1
zarha42
zee lee boss :
Nakukubali Sanaa mzee wangu🙌🏽👌🏿
2026-09-06 14:27:46
1
rajkoli484
james :
kayiba mpya lazoma ipatikani
2026-09-06 19:23:42
0
mickyeugene
mickyeugene :
tui pambanie nakuteka watuwanatekwa na ccm
2026-09-06 19:55:50
0
jackson12660
E.J.M :
nakubalii kaka
2026-09-06 19:25:27
0
juma.aloyce7
Didacus :
wew ni akili kubwa sana Sele
2026-09-06 20:15:43
0
imeldasylvester6
Imelda Sylvester :
tunataka katiba mpyaas
2026-09-06 19:31:29
0
msoto.gear.box
msoto gear box 🚗⚙️🔧🔧💪💪 :
kwa ekima sante mkuu
2026-09-06 15:47:31
1
philbertmathayo
philbertmathay :
tunataka
2026-09-06 18:22:59
0
boyhamim
Boy Hamim :
unataka siyo tuna taka
2026-09-06 18:17:19
0
fatmamikpot250
Fatma Mikpot :
we selemani weeeeee
2026-09-06 19:04:50
0
mickyeugene
mickyeugene :
katiba mpya kila mtu anataka katiba mpya
2026-09-06 19:52:18
0
mickyeugene
mickyeugene :
pia watawala wasio chaguliwa pya atuwataki
2026-09-06 19:53:51
0
user1698860782266
mariam :
kaka we nimtu sahh
2026-09-06 16:07:26
8
wazirimswa
waziri mswa :
ndio tunataka katiba ili kilak2 kiwe huru sasa maana wanajipa ufalme wenyewe 2😂😂😂
2026-09-06 17:53:16
0
benny.mulishiwa
Benny Mulishiwa :
🙏🙏🙏👍❤️sana kaka tunataka katiba mpya
2026-09-06 18:15:46
1
karimmwaiposa
Diluye los recuerdos. :
tunatakaka katiba kunabahazi yapolisi wanaotuonea wanabadilishwa vitengo chuki inaletwa na police alafu mama aongei chochote inatuletea uvimbe moyoni wabadilike
2026-09-07 01:21:43
0
destinymazengo119
Destiny Mazengo :
samahani lakini mimi mpaka sasa sijui maana ya katiba mpya Kwan ya sasa ipoje na kwanini haitakiwi?
2026-09-06 17:24:46
0
thoryo4
Blackman :
kwel tunataka katiba
2026-09-06 18:15:30
0
mussa.mhina8
Mussa Mhina :
Asante kaka
2026-09-06 16:27:52
0
To see more videos from user @iycsigntv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About