@matukioonline_tv: KASSIM ABDALLAH MKAZI WA TEGETA JIJINI DAR ES SALAAM, ASIMULIA KILICHOMSIBU NA KUTELEKEZWA KICHAKANI VIKAWE, KIBAHA Kassim Abdallah, mkazi wa Tegeta jijini Dar es Salaam, amesimulia tukio la kutisha alilodai kukumbana nalo baada ya kusafiri hadi eneo la Vikawe, Kibaha, ambapo inasemekana alijikuta akitelekezwa kichakani katika mazingira ya kutatanisha. Kassim anaeleza kuwa tukio hilo lilianza katika mazingira ambayo hakutarajia kabisa, kabla mambo kubadilika na kuishia yeye kuachwa eneo hilo akiwa katika hali ya sintofahamu na ameibiwa fedha za ofisi zikitajwa kuwa ni Milioni 16. #utekaji
Matukionline Tv
Region: TZ
Sunday 06 September 2026 14:27:14 GMT
Music
Download
Comments
Francis Mroni :
kama hizo pesa ni zake ntakubali alitekwa lakin kama ni mfanyakaxi kuamini itanichukua muda kukubali binadamu tumebadilika sana
2026-09-06 15:17:56
103
symon :
jambo la kumshukuru Mungu uhai tu kaka ndo jambo la muhimu
2026-09-06 15:20:54
44
mwidumbi dumbile :
hii michezo
2026-09-06 16:12:13
20
Regina Vitus :
hiyo siyo kweli wamubane vizuri bwn
2026-09-06 15:24:26
24
mwaka DG :
Naona director kafeli hii script.!!🤗🤗
2026-09-06 16:19:10
0
MC WA COMEDY TZ🇹🇿 :
Nakumbuka hii mbinu ata mimi niliwaigi kuifanya wakat ule nipo kwaboss ila mimi ilikuwa ni 9,480000 walinipeleka police baada yakiminyoo niliona isiwe kes nilisema tu kuwa mwenzenu hii ela nimeiba mwenyewe lengo niache kazi ninunue bajaj ili nifanye kazi zangu, uwezi amini nilivosema kweli boss aliniachia Ile hela nakuniachisha kazi kabisa yan nilifanya ivi iv kama unavoona hii video yauyu kaka apo unaweza ukasema kuwa akili zetu nimoja TU.
2026-09-06 16:22:52
16
Irene Frederick :
Duhhhhh
2026-09-06 16:41:22
0
World Lyrics :
Aeleze vizuri.. moyo umekuwa mgum
2026-09-06 16:11:03
4
Mayande30 :
Mmmmmm!!!!
2026-09-06 17:35:16
0
Lipangala :
Pesa pesa pesa adui wa haki.Watu Wana ondoa uhai wa binadamu kwa sababu ya pesa tu
2026-09-06 15:17:49
7
omar Jr :
kwa mazungumzo yake tu anacho zungumza hakina ukweli saaaana
2026-09-06 16:04:15
12
bakola maguta :
ngoja akajengee sas kitambo sana anatafta hela nakubali mzee wangu
2026-09-06 15:30:40
5
Miss amaizing used spare parts :
Hiyo kwamba ya shingoni waliifunga ya nini kama Sio Mmiliki wa duka uchunguzi ufanyike maana bado sijaelewa kuna maswali mengine yaani wachukue hela waishie kunfunga tuu kamba ina maana hiyo hela aliweka mwilini mpk wamteke Bila kumdhuru halafu wamwache hai. Uchunguzi ufanyike
2026-09-06 15:30:06
6
Naida William :
haiwezekani mtu achukue milion 16 na amuache akiwa hai hebu tuwe makini na hawa watu pia maboss kuweni makini na wafanyakazi wenu🙏🙏
2026-09-06 17:41:26
0
Mr Souls🤍 :
Daaah ivi hii Tanzania tunaelekea wapi wakuu🥺🥺🥺🥺🥺🥺
2026-09-06 15:05:34
8
Kidachiistore :
Sijui kwann siamini hii movie 😂😂 Au sijui ni kwakua nimetendwa sana sina imani na mtu
2026-09-06 15:44:49
5
Mkongwe :
Sasa uyu anaemfungua yeye ni police?
2026-09-06 16:11:25
0
Selina kipandwa :
Mbona mm sion mtwekwa hapo
2026-09-06 15:48:21
2
kijiweni :
hajatekwa wamemuibia
2026-09-06 15:36:28
2
Angel cosmetics & Outfits 💅🏼 :
Michezo hii 😁
2026-09-06 15:54:24
3
isfahaan :
km hizo pesa ni zake huy babu sawa.km za watu siamini hata kidogo sinema zetu 😂dunian hatuaminiani😁
2026-09-06 16:25:39
1
Valley 🦋🦋 :
Mm Kama mwanasheria kesi rahisi ataje wezi wenzake 😂😂😂 wanefanya wizi wa kitoto
2026-09-06 15:54:56
4
Gude :
Siamini kbs mwiz Huyu
2026-09-06 16:10:26
7
To see more videos from user @matukioonline_tv, please go to the Tikwm
homepage.