@habarimpya_tv: Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanahabari wa Mitandao ya Kijamii (JUMIKITA), Ndugu Shaban Matwebe baada ya kuguswa na Video ya Mama huyu iliyosambaa mitandao ameamua kumlipia kodi ya miaka miwili na kumuwezesha pesa ya mtaji wa biashara kwa kushirikiana na wadau wengine,.
HabarimpyaTv
Region: TZ
Sunday 06 September 2026 14:47:37 GMT
Music
Download
Comments
lucy~🧚♀️💫🦋 :
si ungemuamisha apo🥺amna ata umeme na maji🥺
2026-09-06 16:21:30
95
Nphat uk :
TRA wanamsikia tu wao hawatoi msaada wanasubiri afungue fremu wamsumbue NCHI ngu hii
2026-09-07 05:06:51
96
ashanti :
wakati wamungu ni sahihi mashaallah
2026-09-06 15:34:37
114
Shamsaht store 🛍🧕 :
zile sadaka zake Allah anamrudishia kwa namna yakee😊
2026-09-06 16:09:05
91
Neema💞✨💥 :
Mashallah, God bless you 🙏
2026-09-07 06:49:41
1
grace massawe :
kaka naomba unisaidie na mm ni mjane niliachwa na watoto 3mapacha Asante Kaka mungu akubariki Sana 🙏
2026-09-06 15:30:04
19
joshua yaya :
huyo mama anapambana
2026-09-07 07:45:57
0
user1554307954275 :
BADALA ya kumjengea kanyumba eti Kodi ya miezi miwili acheni siasa bwana☺️
2026-09-06 17:03:26
12
Max Mody380 :
Big Up Bro!!
2026-09-07 03:14:28
0
Agness :
mungu anajibu kwa wakati🙏
2026-09-06 16:18:19
31
Suleiman Ali :
excellent Mungu Akulipe
2026-09-06 18:16:17
0
ukhty Nasra Ramadhan :
mashallaah
2026-09-07 12:30:51
0
Harindintwari Christian :
good good
2026-09-08 13:26:04
0
Himdat Dumila Yunus :
mitandao inasaadia na wengine wasaidike wenye shida aliyempost alifanya jambo lamaana
2026-09-06 16:20:11
19
Hadija Juma :
Apatiwe kiwanja na ajengewe japo vyumba viwili tutaachanga
2026-09-06 16:11:00
13
zuun :
naomba niwakumbushe kitu jmn hakuna kitu kikubwa km kutoa sadakah huyu mama sadakah zime mnyanyua sana mashaallah ❤️❤️❤️
2026-09-06 19:44:48
12
Fatuma Mgomba :
hiyo michango mjengeeni. mnunulieni kiwanja na mumjengee nyumba sio kumlipia kodi nyumba haina umeme bado hamjamuinua.
2026-09-06 17:16:06
8
SULEIMAN PILI :
mjengen atakama vyumba vitatu pesa mstowe ivo mtamfelisha zaidi mjegen nyumba mtolen namlango apoapo wasamaria wapo watamsaidia atapofikia
2026-09-06 16:06:06
10
Anna Donati :
zuchu pia anamtafutaa
2026-09-06 15:29:25
7
Uliweswee :
wakati wa Mungu ni sahihi
2026-09-06 15:14:20
9
A ❤️❤️❤️ :
Mungu awabali awaongezee malipo toa
2026-09-06 15:07:23
9
Didas Juma :
Yan huyu tahira si ni Bora angemtaftia kiwanja KIBAHA kuliko kulipa Kodi miaka miwili duuuuh🤔
2026-09-07 13:22:11
1
slim tag :
mbona alie post hamumtafuti
2026-09-07 01:10:01
1
user8770705259168 sabraee :
watu watakavyonunua baiskeli na matenga
2026-09-06 22:16:03
2
zawadisalum831 :
asa apo SI mgenunulia japo yumb ata chumb kimoj
2026-09-06 17:16:02
4
To see more videos from user @habarimpya_tv, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.