@fitstars_1: Kama kweli unataka kupunguza uzito, usile kwa mazoea tu. Kabla hujaweka chakula mdomoni jiulize haya maswali: 1. 🤔 Nina njaa kweli au nakula kwa mazoea? 2. 🍽️ Nahitaji kiasi hiki kweli? 3. 🥗 Chakula hiki kitanisaidia kufikia lengo langu? 4. ⏰ Nakula kwa sababu ya njaa au kwa sababu ni muda wa kula? 5. 💧 Nina kiu tu? 6. 🧠 Nimechagua chakula kwa akili au kwa tamaa? 7. ⚖️ Hiki chakula kitanishibisha au kuniongezea calories tu? 8. 🔥 Kula hiki kutanipeleka karibu au mbali na lengo langu? 9. 💪 Nitajisikiaje baada ya kula? 10. 🎯 Je, uchaguzi huu unaendana na mtu ninayetaka kuwa? Kumbuka: Kupunguza uzito si kujinyima kila kitu. Ni kujifunza kufanya maamuzi sahihi mara nyingi zaidi. 🔥 📲 Unataka kuanza safari yako ya kupunguza uzito? Wasiliana nasi WhatsApp +255 743 892 545 upate maelezo ya FIT PROGRAM yetu ya kupunguza uzito na uanze safari yako kwa mwongozo sahihi. 💪🔥

PUNGUZA UZITO NA KITAMBI
PUNGUZA UZITO NA KITAMBI
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 06 September 2026 14:57:34 GMT
130111
1773
30
280

Music

Download

Comments

user7091832496836
user7091832496836 :
mm nikil ivyo ndio nazid kunenep🤣
2026-09-26 18:11:20
1
umi.omar1
Umi Omar :
1😆
2026-09-24 11:01:39
1
aavvllllvvvvvvvv1
🖤VR🖤 :
Lakini mimi nikila sahani moja wapo hapo nashiba kabisa,sijui nikoje mimi😳
2026-09-30 07:27:07
1
david.majala
David Majala :
safi kabisa chakula kizuri hiko napaswa kula mda gan kuu
2026-09-19 10:38:22
1
chellin740
Chellin❤️🦋 :
Haya mayai ni ya kienyeji au yakisasa?
2026-09-16 09:23:12
2
deborahdevison
Debby :
je kama mm kazin asubuhi kama saa tatu nakunya supu ya samaki mchana nakunywa maziwa mtindi tu mpka jion je niko sawa maana nisipokunywa asubuhi sitapata tena supu kutokana. na mazingila ya kazi
2026-09-21 07:22:52
1
luisercharles
vee :
nikukaza tyuu kwakeli
2026-09-14 14:44:12
1
mamakelai
husna mkama :
hiyo sahan ya kwanza toa hizo ndizi bas
2026-09-11 18:24:44
1
user854202919086
user854202919086 :
leo nahamia kwenye mchemsho wa ndizi samaki na mahindi😋😋
2026-09-17 09:38:47
1
datac76
from your contact :
boss mm kwa sai napunguza uzito na kitambi ila mm nimeacha vitu vya sukali sili nyama .na nimepunguza kiasi Cha Cha kula na mazoezi mengi hiii week ya pili sioni matokeo
2026-09-23 18:33:45
2
kamandajr2
kamandajr2 :
🥰🥰🥰
2026-09-09 14:51:11
2
josephinaturiani
josephinaturiani :
😂😂😂
2026-09-23 08:50:03
1
To see more videos from user @fitstars_1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About