@ngosha314: Voda tunaharibiana usingizi kwa sms za kijinga😄

JAY NGOSHA
JAY NGOSHA
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 06 September 2026 15:48:48 GMT
12017
226
14
13

Music

Download

Comments

gtex_computers
Gtex Computers :
Jaman tuwe makin Sana na vitu kama hivi , unaweza ukajikuta unaingia kwenye matatizo bila kutegemea na hii ndo shida ya sisi watanzania na inatuponza sana unakuta mtu yupo serious kabisa anasoma comment yangu badala aandike ya kwake.
2026-09-07 07:17:44
2
user469262068417
𝔸𝕣𝕠𝕪𝕔𝕖👊 :
mm walinipaga elu 22000 wakaja wakanipa 43000 wakarudia tena wakanipa 52500 saiv wametulia sjui shida nn
2026-09-06 18:15:40
2
marypari2
mary :
me jero
2026-09-07 04:12:02
0
user6254425309922
issack :
🤣🤣🤣 halafu unakuta songesha wanakabeba tena
2026-09-06 18:28:56
0
kiddjancho10_
_𝐉𝐀̈𝐍́𝐂𝐇𝐎̀_𝐆𝐎𝐌𝐄̨𝐙🍀 :
Bora wewee 53 me huku ni 20
2026-09-07 09:26:15
0
papytz179
papy🥶 :
kwanza Mimi wamenuuzi wamenipa13
2026-09-07 10:33:05
0
accessoriesbeauty5
SAKINAH ACCESSORIES :
Halafu wanaanzaga kutuma kuanzia saa9 usiku 😂😂
2026-09-07 08:29:40
0
bepalmshua
B e p a l 💥 :
😂😂😂
2026-09-06 17:33:33
0
To see more videos from user @ngosha314, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About