@jeszo027: MWILI WA HAYATI JOHN POMBE MAGUFULI WAZUNGUSHWA MARA 5 KATIKA UWANJA WA UHURU_ DAR ES SALAAM__ #trending #kenya #tiktok #ugandatiktok #Tanzania
dah Asante kwa kutukumbusha majonzi na kutuliza tena🥹🥹🥹😭😭😭
2026-09-07 04:42:11
27
saakey mgimba ludende :
magufur spect
2026-09-07 15:35:20
1
kashaba Jr. :
umelala baba R.I.P rais wetu ulale salam
2026-09-07 13:50:42
9
mtauli jr :
kuna kitu nawaza lakini Roho mtakatifu ananiongoza nisikiseme.
2026-09-06 19:00:12
8
renatusiandrew :
kwa hapa naweza nikarudia kukia😂😂
2026-09-07 19:52:35
0
Festo temba :
😭😭😭😭 lala shujaaaa wetuu
2026-09-07 07:39:40
3
shedrack :
Musiba wa mwisho wa watanzania ndio ulikua huu zingine kila mutu ajililie mwenyewe
2026-09-07 14:42:59
3
ravin :
vizuri havidumu
2026-09-07 13:50:43
3
FUTURE C.E.O🌟🌟 :
2026-09-07 17:29:02
3
Principle⚒️ :
JPM,ohhhh dahhh
2026-09-07 10:38:16
3
MICHAEL SALOON KAHAMA :
Biashara imekua ngum bila wewe baba kod kubwa
2026-09-06 22:11:02
5
samwel laizer :
😭
2026-09-07 12:40:21
2
BABA LIGHTNESS@ HB :
Hapa hatukumzika @MAGUFULI TU bali tuliizika Tanzania yetu ee mungu mpe ulinzi kiumbe chako icho na umsamehe dhambi zake apate kurithi ufalme wa mbinguni😭🙏🏿
2026-09-07 16:42:08
2
betty💕 :
umefurahi sas kutukumbusha machungu katika kipindi ichi kigumu😭😭😭
2026-09-07 16:08:03
0
Amani :
so pain kwa taifa langu na Tz kwa ujumla
2026-09-06 17:44:31
4
CONFIDENTIAL ARTS :
ilaaaaah huyu baba.... Mungu anisamehe sana nilimchukia ila mpaka leo najutia.... ulale salama baba❤️