@dhakii.online.tv: Rudi ukasome

๐ƒ๐‡๐€๐Š๐ˆ๐ˆ ๐Ž๐๐‹๐ˆ๐๐„ ๐“๐•
๐ƒ๐‡๐€๐Š๐ˆ๐ˆ ๐Ž๐๐‹๐ˆ๐๐„ ๐“๐•
Open In TikTok:
Region: KE
Sunday 06 September 2026 16:56:15 GMT
50829
2621
85
160

Music

Download

Comments

abuu2.o
Abu :
Bachu yupo sahihi kabisa
2026-09-07 14:37:50
15
hudaybyya.muadhwam
hUdAyByYa mUaDhWaM :
Mm si msomi lkn BWANA MTUME MUHAMMAD (S.A.W)amesema hakuna madhambi makubwa km madhambi ya nafsi na hayo madhambi yenyewe ni CHUKI,KEJELI,DHARAU,KIBRI,KUJIONA NA MENGINE KAMA HAYO....,,M/MUNGU atuondoshee na atuepushe na madhambi mengine kama hayo....!!
2026-09-07 14:38:02
14
athumanirmadhani
SUMADO.MAFEKECHE ๐Ÿค :
ndio maulidi didaa
2026-09-07 11:27:07
1
khamisseif795
Khamis Seif :
Ivi Ile din ambayo mtume Muhammad S. A. W) alio sema imekamilika na haina haja ya nyongeza na maulid yalekuemo katika iyo din au mnaamini icho mnacho kifanya pia kinafaa kwenye din jib naomb ili tuelew kwa wote๐Ÿ™
2026-09-12 03:48:31
0
mudhafar._
manyota :
Wacha kueneza chuki bachu aliomba msamaha kwakutupa kitabu
2026-09-06 18:21:58
3
imranphiri4
ุนู…ุฑุงู† ุจู†ุฏุง :
ุงู„ู„ู‡ู… ุตู„ ูˆุณู„ู… ุนู„ู‰ ุณูŠุฏู†ุงู…ุญู…ุฏ
2026-09-16 06:16:52
0
moddy89.young
๐Ÿ‘‘ Alpha ๐Ÿ‘‘ Maneroo ๐Ÿ‘‘ :
bachu ๐Ÿ‘ sahihi
2026-09-15 16:39:11
1
faridaally19
faridaally19 :
maulidi haifaa
2026-09-08 12:10:17
0
szamanisuarez
Sแด€แด‡แด‡แด… Zแด€แดแด€ษดษช Sแดœแด€ส€แด‡แดข :
Ibada yoyote ni haram isipokuwa iliyoamrishwa. Maulid ni ibada? yameamrishwa?
2026-09-09 03:19:13
0
imranwesley
swaleh afzal :
Maulidi tutasomaaa
2026-09-11 02:49:00
2
aminkhal.26
Aminkhal :
Nitasoma maulid had mwish wa dunia nafat kile ambach moyo wangu una amini kwa sabb hakuna aya ilio sema tunakosea na ninav jua mm maulid nikutaj mtume na swifa zake
2026-09-07 22:59:48
7
hamiss2006
hamiss :
tutasomaaulidi mwanzo mpak mwisho
2026-09-14 21:00:35
0
mussaissa5236
HEART OF QUR AN :
Acheni kubishana Nyote ni waislamu kwahiy kila 1 a amini upande wake
2026-09-09 05:11:15
2
ashasura445
sureishy :
Sana Sisi na mtume mtume na Sisi
2026-09-11 17:28:40
0
madazitoz
Mada zitoz :
maulidi ni yamtume tutayasima hatuwezi kuyawacha cc na mtume mtume na sisis ๐Ÿฅฐ
2026-09-08 19:01:40
0
user9097239855405
Ramadhani Mugisa :
Napenda Bachu uko sahihi sana
2026-09-10 09:15:21
0
moanedsheemwalimu
[email protected] :
Shekh umezungumza vizuri ila mwisho n ww umetusi je n sahihi?
2026-09-06 20:06:40
0
yassin.athuman.mon
YASSIN ATHUMAN MONGO :
nawaomba mashekhe zetu mukae pamoja muyazungumze aya mamb yaishe mulekezezne bas muendelee nasafar ii ss mamaamuma wenu wanafgunz wenu muna tupa ukakas jamajn tunawapend san na tunaipenda din yetu na tunapend kuskilza dalasa lenu sasa tunawaomba achen chki tupendne kwa ajir ya allah wote ni waja wa allah ss
2026-09-07 13:05:18
1
salat_95
ุตู„ุงุฉ -๐Ÿฅฐ :
tushikane Kwa kamba ya mweyezi mungu ,,,
2026-09-09 09:24:39
0
abduljabarabdulja16
abduljabarabdulja16 :
mwenyezi mungu alete maslah na ufahamu kati yao Al Muslim akhul Muslim tukitafoutiana turudi kwa Quran na Hadith
2026-09-08 16:32:50
0
mussahoseni
Mussa Hoseni :
kilekitabu tuambie maulidi hyanashida tuambie kuhusu kitabu hakinabatili kweli
2026-09-15 17:23:15
0
mohamedmtanzania0
mohamed mtanzania :
kama anaogopa Kwa nn asiambiwe na tatizo hatupendi kujifuza bali ni kukatirishwa na katika dini tumeambiwa tukihitilifiana twende kwenye Quran na Hadith full stop
2026-09-16 02:21:19
0
tozaomar
tozaomar :
lakadh kana lakum fi rasulillahi husuwan hasana na apa mtume alikuwa kihadh
2026-09-09 06:44:24
0
hafidh.bastian
HAFIDH Bastian :
Kusherekea kw kuzaliw. muhammad s.a.w si vibay. kumsalia mtume. kw siku yake si vibaya. bali musiend kinyume. na hayo.
2026-09-10 05:24:55
0
user7612505362492
user7612505362492 :
Cor an na Sunna ndio maagizo ya Mtume swala llahu waa alihi wa ssalam ikiwa khtlafu kubwa ni Maulid tuangalie Mtume katuhusia ama Maswahaba walisheherekea Maulid so apo tuyafuate laa ikiwa sio hivyo tuko upande gani???
2026-09-07 11:05:19
0
To see more videos from user @dhakii.online.tv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About