kwenye ilo swari wanaopata ni wawili tuu waliobaki ni wapeenzi watazamaji.
2026-09-07 12:28:37
8
Bachela tz 🇦🇮🇦🇺 :
tulio coment tupo kweny wifi za bure tujuwane
2026-09-06 17:50:45
12
Dee NYANDU26 :
jaman tuwe makin Sana na vitu kama hivi , unaweza ukajikuta unaingia kwenye matatizo bila kutegemea na hii ndo shida ya sisi watanzania na inatuponza sana unakuta mtu yupo serious kabisa anasoma comment yangu badala aandike ya kwake.😂🥲😂
2026-09-06 18:11:07
8
To see more videos from user @mcmboneke_comedian, please go to the Tikwm
homepage.