siku hizi kkkt imekuwa ya hovyo sana mahubiri kidogo ila matangazo ya pesa kama tuko gulioni
2026-09-07 12:37:37
12
lizzy156 :
Sipendi kuchelewa ibada jamani uwiiii yan nikikuta ibada imeanza najiona nimepungukiwa kitu kikubwa sana nakutoka nje wakati wa ibada nilivyo na aibu mungu niepushie
2026-09-07 14:39:42
4
user7463278123571 :
Wanajifungia wenyewe?
2026-09-06 21:23:31
1
j12345 :
2026-09-08 10:27:39
0
user1218597280233 :
hongera sana baba kwa neno
2026-09-07 12:41:48
2
Aroni Joseph Tassiano :
Ubarikiwe sana
2026-09-07 06:10:58
1
georgeuvambe1 :
🙏🙏🙏🙏🙏 Point Kubwa Sana Pastor
2026-09-07 04:54:00
3
user1366284962026 :
mungu atulinde kwa ujumbe
2026-09-07 06:16:00
2
Mom of Triple Boy :
Kabisaaaaa
2026-09-07 14:23:25
1
salomee_____❤️❤️ :
ubalikiwe mtumishi
2026-09-08 06:35:12
0
Simon machajr :
Mch Daniel Sendoro Baba yangu wa Kiroho wa zamani Mtaa Chamazi. Nimeyapokea maagizo yako mkuu. Ni kweli kabisa kuna umuhim mkubwa sana wa kuwahi ibadani na kutulia hadi mwisho. Kule kwetu Kilimanjaro wazazi wetu walitufundi ukikuta umefungiwa nje siku iyo hujafanya ibada. Mchungaji Usharika wako Mteule wa Chamazi. mwezi 10 Unazinduliwa kuwa Usharika rasmi. karibu sana Mtumishi🙏
2026-09-07 13:18:47
1
floraminja985 :
kweli kabisaaa siku ya Bwana iishie kanisani unawahii kwenda wapii kaa mpaka ibada iishee
2026-09-08 04:23:09
0
Kareem :
yaan mimi nikichelewa, ndo huwa siendi tena,,muda mwingine tunawahi kutoka tunafanya kazi za watu na hazina jumapili wala sikukuu, siku ya off unapangiwa, kwa hapo kwenye kuwahkutoka tusameheane tu
2026-09-07 20:14:15
0
Fm Flowers :
ameen 🙏
2026-09-07 16:24:58
0
popten casablanca :
tatizo huwa hamzingatii mda. wa kutoka maana baada ya kutoka kanisani inaitajika pia pesa
2026-09-07 07:08:15
2
Dr Owden (MD) :
Past. Sendoro
2026-09-06 18:00:22
2
ioseph :
amina mchungaji
2026-09-07 12:33:49
0
user7463278123571 :
🙈🙈🙄
2026-09-06 21:22:50
1
Salome Sanga :
🙏🙏🙏
2026-09-07 06:44:27
0
Ritha mussa :
😳😳😳
2026-09-07 06:46:35
0
To see more videos from user @kkkt_kibamba, please go to the Tikwm
homepage.